BlackBerry
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 1,839
- 958
Mi nikimfuma nanunua doli langu namwambia atulie ndani nimshughulikie aache kuhangaika na kujidhalilisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1.wazungumze nini??? HAPO NDOA HAIPO.Ni mambo ya kusikitisha sana lakini kama upo uwezekano ni bora wakae na kuzungumza. Kama Shost (Homo..) atakuwa tayari kubadilika anaweza kupata ushauri nasaha juu ya namna za kuacha aibu anayomtia mkewe. Ikishindikana wasilazimishe. Kuachana pia ni suluhu kwa namna fulani.
Mh siater? utaweza kweli walivokomaaMi nikimfuma nanunua doli langu namwambia atulie ndani nimshughulikie aio kuhangaika na kujidhalilisha
Kweli kabisa hapo hakuna cha mazungumzo kabisa ni kuondoka tu kukwepa pia aibu kwa jamii na dhambi hiyo kuu1.wazungumze nini??? HAPO NDOA HAIPO.
2.HIYO NI DHAMBI INAYOMKASIRISHA SANA MUNGU. MIJI YA SODOMA NA GOMORA ILICHOMWA MOTO SABABU YA DHAMBI HII. MABASHA
WA MIJI ILE WALITAKA KUWALAWITI HATA MALAIKA WA MUNGU
3.LAKINI PIA SHETANI ANAPENDA SANA WATU WAITENDE DHAMBI HII.
4.WATENDA DHAMBI HII HUWA 100% WANA ROHO YA SHETANI WAKATI HUO WA KITENDO........HUU NI USHETANI.
5.WANYAMA HAWAPANDWI NA ROHO YA KISHETANI NDIO MAANA HUKUTI BEBERU AKIMLAWITI BEBERU MWENZAKE.
usisubiri kumfuma weye anza taratibu..utaona tu linavyorembua machoMi nikimfuma nanunua doli langu namwambia atulie ndani nimshughulikie aio kuhangaika na kujidhalilisha
mi ningekuwa ndio huyo mdada ningemuomba huyo houseboy akimaliza kumshemperea mume wangu, aje na kwangu pia. Halafu namweleza huyo mume wangu kuwa tangu leo mimi na wewe ni wake wa hausiboy, tujipange ipasavyo kumuhudumia mume wetu.
Shalom wana jamvi.
Kuna rafiki yangu ameolewa na the most handsome boy, lakini huyu mwanamume tulipokuwa tunasoma chuo ilikuwa inasemekana anapigwa miti na prof.
Baada ya miaka kadhaa tangu tumalize shule akamuoa rafiki yangu, lakini sikuwahi kumjulisha kuwa mumewe chips mayai (anageuzwa).
Juzi kilicho tokea ni kwamba amemfuma laivu mumewe akipigwa fimbo sita assemble (sebuleni) na hausi boy wake, na mke amekosa huduma kwa miezi minne sasa kwa kuwa roketi ya mumewe haipai.
Je kuna uhusiano gani kati ya kugeuzwa na upungufu wa nguvu za kiume?
mi nikimfuma nanunua doli langu namwambia atulie ndani nimshughulikie aio kuhangaika na kujidhalilisha
Hahahahahahahaha unajua wewe mtundu sana BBMi nikimfuma nanunua doli langu namwambia atulie ndani nimshughulikie aio kuhangaika na kujidhalilisha
sio na wanaume,
sema na wengine pia...
tafsiri ya mwanaume inabadilika hapo
mkuuu unataka umtulize faster hahahhaha!tuletee namba ya simu ya mkewe