PastorPetro
Senior Member
- Feb 25, 2008
- 189
- 36
Anageuzwa na hausboi! Duh! Anajitakia matatizo. Huo ume kushindwa kufanya kazi ni matatizo ya kifikra. Asingekuwa na hamu ya kufanywa huko nyuma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shalom wana jamvi.
Kuna rafiki yangu ameolewa na the most handsome boy, lakini huyu mwanamume tulipokuwa tunasoma chuo ilikuwa inasemekana anapigwa miti na prof.
Baada ya miaka kadhaa tangu tumalize shule akamuoa rafiki yangu, lakini sikuwahi kumjulisha kuwa mumewe chips mayai (anageuzwa).
Juzi kilicho tokea ni kwamba amemfuma laivu mumewe akipigwa fimbo sita assemble (sebuleni) na hausi boy wake, na mke amekosa huduma kwa miezi minne sasa kwa kuwa roketi ya mumewe haipai.
Je kuna uhusiano gani kati ya kugeuzwa na upungufu wa nguvu za kiume?