Amfumania mumewe akipopolewa na hausi boy

Anageuzwa na hausboi! Duh! Anajitakia matatizo. Huo ume kushindwa kufanya kazi ni matatizo ya kifikra. Asingekuwa na hamu ya kufanywa huko nyuma.
 

La muhimu na kushukuru ni kwamba Mungu amemuonyesha tabia ya mumewe ilivyo. Namshauri aende akapime kama bado yuko salama (VVU) na kama yuko salama amshukuru Mungu na kuanza mchakato wa kuvunja ndoa. Tabia hiyo inakubalika kuwa sababu ya kuvunja ndoa kisheria na kidini.
 
raha na karaha ya u handsome hiyo. na bado hapo ajiandae na kupima ukimwi maana wazoefu wanasema huko hata KY sometime huwa haina msaada michubuko kwa kwenda mbele
 
Sasa dunia imebaki kama time bomb,any time 't' kaboooooom!
 
Kwa mujibu wa wataalamu wa iyo kitu wanakuambia wakati anafanyiwa hiyo kitu huwa naye anadindisha sasa kwakuwa anayemshughulikia anaogopa na yayeye kugeuzwa so inabidi ahakikishe anakunja uume ya jamaa ili asiweze sisimamisha kwa hiyo mazoea hayo yakiendelea huzaa kilema ambacho kimemkuta huyojamaa.
 
wee naye sio rafiki kabisaaaaaaaaaaa.....sasa kama ulikuwa wajjua kwa nini hukumwambia mwenzio??
umeecha mpaka amehadhirika. loh!!!
 
Tunakoelekea tutamkasirisha Mwenyezi Mungu Muumba na atakasirika na kushusha zaidi ya....sodoma na Gomora maana sasa tunamchezea!!!!!
 
Na alaaniwe kwa kitendo alichokifanya
 
hahaaaa ndo maana houseboi anakuwa ki besi ...hahaa anatumia blackberry torch nini....kumbe anamshikisha ukuta tajiri
 
Kuna uhusiano kati ya ushoga na uume kusimama...wanaume wana mshpa unaounganisha uume na anal area(anus)..mshpa huu n elastic(kama mpira wa manati),huu mshipa hupatikana chini/nyuma ya uume..huu mshpa ndo huwezesha uume kusimama na umebeba hisia nyingi sana kwa uume ku-erect!....ndo mana wakat wa jando madaktar hutairi kwa makini ili wasiuharibu,na ndo unakuwa wa mwisho kupona mara baada ya kutahiriwa..na daktari akiubetua basi uume hausimami tena!!.....basi kwa vile huu mshipa huenda adi kwenye anus,basi kile kitendo cha kuingiziwa na kutoka hufanya ule mshpa kulegea(kwa wanaojua elasticity)..kwa mda kitendo hiki hufanya huu mshipa kulegea hvyo kusabibsha uume kulala sbb uume hutegemea huu mshpa..yangu ni hayo
 
Kwa hiyo hamu anakuwa nayo...lakin hawezi tena mana ule mshipa umelegea....kwa wanaume wanajua..ata kama mwanamke unataka kuamini,ubetue uume wa mmeo,then kwa nyuma kuna mshipa..ule mshipa ndo unakufanya upata haki yako!ukiupapasa kidogo lazma mwanaume acheue..mana una raha yake pindi ushikwapo...mshipa huu ndo hupelekea kuwepo na rutuba nyingi ktk anal area.,majani mengi(anal hairs)...huwez kukuta mwanamke ana anal hairz hata siku moja..ila mwanaume rijali lazima awe na anal hairz...bwabwa yoyote hana anal hairs,mana kubofywabofywa kwake kunaua huu mrija unaoleta rutuba huku nyuma!
 
Ndio anayotaka cameroon hayo! haki za binadamu mtu kuliwa kiboga! laana kumu-llah9Laana ya mwenyezi mungu hiyo)
 
Huyo aruhusiwe kuolewa tu na Houseboy wake mambo yaishe.Cameroon akisema,ooh hatutakii mema! Tangazo la ndoa liharakishwe tu,hakuna dawa hapo.
 
dah..... imbombo uwili, amasiku gamalishe!
 
aaah hiyo picha ni ngumu kuiamini ,, hivi hakuzirai??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…