Amfumania mumewe akipopolewa na hausi boy

dah!!asee....ama kwelii,lakini wanaume waaina hiyo wapo wengi sanaa jamani,mijitu imoowa na inawatoto bado wanatumbuliwaaa ndo kitu kipate stataa,kunaa limojaa kitaani maselaa maskani wanasemaa,kunaa mtoto wakiuni usiku analishugulikia chooni then jamaa kitu kinaa simamaa then na yeye faster anaenda kumcharukiaa wife.huyo mwanamke amtafute mwanaume rijali amlete hapo ndani then abanjuliweee tuone kama jamaa atamaind.
 
mwagia petrol choma moto mtu zote mbili izo loh! hapo utakuta kila siku kazi kulalamika houseboy aongezewe mshahara kumbe ajua kazi anayompatia ni zaidi ya ile mlimuajiria loh! hahahhaaaaaaa
uwiiiiiiiiiiiii naozea jela mana nisingebakisha hata kidole gumba
 
na wewe kama ulijua huyo handsome wa shoga yako anageuzwa ulitakiwa kumpa tahadhari mapema ili awe anajua kuliko ulivyomficha,maana sasa hivi ukimwambia kuwa ulikuwa unajua kabla ujue urafiki wenu umeishia hapo.
 
Wadau, tunafanya kama mzaha lakini tukio hili linakereketa kupita maelezo.
Namshauri afanye maamuzi magumu, atimu mume na huyo house boy maana sidhani kama watu wanaofanya hako kamchezo huwa wanaacha, asije akaletewa na magonjwa ya ajabu ajabu.
Mi baba mingine jamani!
 
hasira hasara bi Aminata 9 ohh.Source Jagwa Muzik vol 2.Nalog off
 
Huyu jamaa nafikiri atakuwa ndiye atakayeenda kuiombea msaada serikali ya Tanzania kwa yule jamaa wa Uingereza(Mr.gay cameron) inaonesha wana share vitu vinavyofanana.Nalog off
 
huyo kaolewa na mke mwenzake. inauma sana lakini ndo hivyo mumewe ai riziki its better ampige chini aendelee na maaisha yake maana haina maana tena.
 

Jamani pepo Devid Cameroon anazidi kupanda chati kila siku
 
jaman, ata kama umeshibana na mtu kiasi gani! hawezi kukwambia haibu aliyofanyiwa mumewe, mi siamini.............!!!
 
Baba analyst! Hili halizungumziki!!! Nadhani tumezoea cheatings za mwanaume na mwanamke, ila za mwanaume na mwanaume? Kha! Tunahitaji miaka 100 kuzoea na kukubali!
Hivi nyie wanaume,ukimkuta mkeo anasagana na hgeli, unaweza kumsamehe? Na baada ya hapo mtaishi maisha gani? Utaweza kumuamini akiwa na wanawake wengine wowote? Ngumu kumesa! Tavaladoi!
 

Muulize David Cameron............. Au tembelea Ofisi za Balozi wa Uingereza nina hakika atakupa jibu linaloeleweka. Wataalamu hao..!!!:lol:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…