Juzi alifungwa AZAM lakini walioumia ni MBUMBUMBUKufungwa kafungwa Singida ila wanaoumia ni wengine [emoji23][emoji23]
Sasa mshika kibendera aliihukumu hii, alinyoosha kwa muda tu hadi iliporudishwa kama second ball na mpira kuingia wavuni. Au kwa mawazo yako, offside inahukumiwa pale inapozaa goli? 😁Hii haikuzaa goli, hii iliokolewa na beki wa Simba, iliyozaa goli haina angle hiyo, acha ujinga.
Karia atakufunga weweTuache mambo ya simba vs singida bull shit, ila huyu Mtoto mashallaaaaah
Usihangaike na mijitu iliyojulia mpira kupitia Azam tv!Sasa mshika kibendera aliihukumu hii, alinyoosha kwa muda tu hadi iliporudishwa kama second ball na mpira kuingia wavuni. Au kwa mawazo yako, offside inahukumiwa pale inapozaa goli? [emoji16]
Atakuwa anasakamwa na wale ndugu zetu wa mitaa ya Twiga na Jangwani maana wana hofu ya kupigwa na mnyama bao 2-0 kama game iliyopita.
Ndiyo maana waliwatuma ndugu zao walima alizeti wakamie na kutuumizia baadhi ya wachezaji wetu
Mkinga huyo kuwekwa Msukule nje nje.Tuache mambo ya simba vs singida bull shit, ila huyu Mtoto mashallaaaaah
Jumapili tu sio mbali 🤗Nitarudia hii comment yako
Yanga ni mambwa msimu huu wanataka mafanikio kwa propaganda akili zao vinyesi tupuNaona anasakamwa sanaView attachment 2714226
Huyu binti ni mjinga sana. Maamuzi yake mengi ya hovyo, yalichangia kuwatoa Singida mchezoni.Naona anasakamwa sanaView attachment 2714226
huyu refa alitumwa na tffNaona anasakamwa sanaView attachment 2714226
Hamna kitu hapaNaona anasakamwa sanaView attachment 2714226
Kuna wakinga waislam kumbe!?Mkinga huyo kuwekwa Msukule nje nje.
Hapo ni peku tuTuache mambo ya simba vs singida bull shit, ila huyu Mtoto mashallaaaaah
Ahaadem msenge sana huyu, yaan kaona singida wapo kwenye advantage ya kupata goli yeye akaamua kumaliza mpira we ulisikia wapi?
Karia anakula mzigo?Karia atakufunga wewe