Amina Kyando amezingua au? Anasakamwa kila kona

Amina Kyando amezingua au? Anasakamwa kila kona

Hii haikuzaa goli, hii iliokolewa na beki wa Simba, iliyozaa goli haina angle hiyo, acha ujinga.
Sasa mshika kibendera aliihukumu hii, alinyoosha kwa muda tu hadi iliporudishwa kama second ball na mpira kuingia wavuni. Au kwa mawazo yako, offside inahukumiwa pale inapozaa goli? 😁
 
Sasa mshika kibendera aliihukumu hii, alinyoosha kwa muda tu hadi iliporudishwa kama second ball na mpira kuingia wavuni. Au kwa mawazo yako, offside inahukumiwa pale inapozaa goli? [emoji16]
Usihangaike na mijitu iliyojulia mpira kupitia Azam tv!
 
Atakuwa anasakamwa na wale ndugu zetu wa mitaa ya Twiga na Jangwani maana wana hofu ya kupigwa na mnyama bao 2-0 kama game iliyopita.

Ndiyo maana waliwatuma ndugu zao walima alizeti wakamie na kutuumizia baadhi ya wachezaji wetu

Nitarudia hii comment yako
 
dem msenge sana huyu, yaan kaona singida wapo kwenye advantage ya kupata goli yeye akaamua kumaliza mpira we ulisikia wapi?
 
dem msenge sana huyu, yaan kaona singida wapo kwenye advantage ya kupata goli yeye akaamua kumaliza mpira we ulisikia wapi?
 
Ni faulo dhidi ya kipa wa Simba ilifanywa na mshambuliaji wa Singida alimlalia kumzuia kipa asiendelee na harakati zake ndo ilisababisha isiwe goli, irudieni ile clip mtaona!
 
Back
Top Bottom