Mnaowatetea hawa nadhani mmepungukiwa na akili, unawatetea watu ambao daily wanakutakieni mabaya katika nchi yenu, watu wanaokuoneni vilaza na wajinga wa mwisho, aliepungukiwa akili pekee ndo anaweza kumpenda na kumsifia adui anaejidhihirisha mbele zake kwa hali zote.