Amina Mohamed ashindwa kutinga hatua ya mwisho katika mbio za kuwania Ukurugenzi WTO

Mnaowatetea hawa nadhani mmepungukiwa na akili, unawatetea watu ambao daily wanakutakieni mabaya katika nchi yenu, watu wanaokuoneni vilaza na wajinga wa mwisho, aliepungukiwa akili pekee ndo anaweza kumpenda na kumsifia adui anaejidhihirisha mbele zake kwa hali zote.
 
Hata MK254 anawaza akasema Mimi mtanzania sasa kama unajifanya wewe ndio mama huruma wa kitanzania weka NIN yako
 
Hawa wengine wanaojiita Watanzania bora mh Magufuli anatengeneza kiwanda tu cha mbolea tukawabadili kua mbolea tukuze kilimo
 
Hawa wengine wanaojiita Watanzania bora mh Magufuli anatengeneza kiwanda tu cha mbolea tukawabadili kua mbolea tukuze kilimo
Tutaendelea kuwachana bila huruma, kama unajisikia uchungu nenda ukajifungue.
 
niliwah kusema humu kwamba ke wangepenya tungepata shida sana tena sanaaa.....
then tukaamua kutumia kidogo SOFTpower 'raha sana[emoji16][emoji16][emoji106][emoji1241]


Niwape ushauri ke sijui kama megaphone diplomacy ishawah kushinda popote karne hii

jinsi wanavoendelea kulalama ndo wasahau kabisa nafasi muhimu duniani
 
Hawa wengine wanaojiita Watanzania bora mh Magufuli anatengeneza kiwanda tu cha mbolea tukawabadili kua mbolea tukuze kilimo
Fear of something is the root of hate for others,and hate within will eventually destroy HATER.✌️
 
The problem with miccms is not knowing they are their own problems
 
Eti Mimi mtanzania ,kama anataka aonekane kama mtanzania c aweke namba yake ya nida Kwan mk254 haiwez kusema yeye mtanzania
Sasa wewe unadhani mtu yeyote anayefikiria bila kubebewa akili na CCM ni Mkenya? TZ pia ina independent thinkers ambao hawafuati upepo kama wewe na wenzako
 
Sasa wewe unadhani mtu yeyote anayefikiria bila kubebewa akili na CCM ni Mkenya? TZ pia ina independent thinkers ambao hawafuati upepo kama wewe na wenzako
Wewe sasa hv nishakupuuza nina taarifa yako yote ya kichwa chako .unajivunia kua na bembea [emoji848][emoji848] [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ngozi Okonjo Iweala has a permanent seat in the highest echelon of academic kingdom, indeed she is the pedestal of academic excellence in Africa and far beyond. Although some people out of faulty reason may think Amina is good, but she (Amina) is not more than a school girl when compared with that West African guru.
I can vouch to say Ngozi is the ideal candidate for that mighty post.
 
80% ngozi ana chance ya kushinda. Amina ni makelele ya wakenya tu, hana sifa za kushika hicho kitu, hata Kenya kwenyewe wamemtoa katika wizara nyeti na kumpa wizara za chini kabisa.
 
Usifurahie matatizo ya wenzio. Shughulika na matatizo yako. Amina is a very successful lady. Kushangilia kwako hakumpunguzii kitu. Kwanza hajui kama upo hapa duniani japo wewe unajua Amina yupo.
Maneno ya kweli...lakini yanauma...

muonee mwenzako huruma...mpe pole

Si kwa maneno haya


Buhahahahaahahaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…