Amina Ngaluma wa Double M afariki dunia

Amina Ngaluma wa Double M afariki dunia

Kwa taarifa nilizozipata punde kutoka nchini Thailand ni kwamba Amina Ngaluma amefarki dunia leo hii.

more updates to come.

Mkuu mambo vp..eti yule maskini mwenye minyoo kutokana na uchafu unamjua??? Naomba mwambie anitafutie nimlipie shule mwanae cc Matola
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mambo vp..eti yule maskini mwenye minyoo kutokana na uchafu unamjua??? Naomba mwambie anitafutie nimlipie shule mwanae cc Matola

Matola bint kahtaan.

A.k.a Mgonjwa minyooo..!!?

Teh teh teh.
 
Last edited by a moderator:
Tena[emoji15] [emoji15]!???si alishakufa jamani huyu au ni mimi nipo nje ya muda?
 
Nimekuja source GBL
sikuwahi kumuona wala kujua amefariki,kumbe alikuwa na sura nzuri kama sauti yake, napenda ile nyimbo ya Mgumba anapoimba “najiuliza kosa langu silijui kemmy mimi,au kosa langu mwenyezi mungu baba kuniumba mgumba...” may her soul rest in eternal peace
 
Back
Top Bottom