Mpanda nyangobe
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 762
- 1,688
Mgombea yeyote hata asipofanya kampeni kabisa..Ila siku Moja akawa live kwenye tv akautangazia umma kuwa pindi akiwa Tanzania one atafuta TOZO aina zote...!! Baada ya kutamka hivyo nchi itazizima Kwa furaha na Wala asiendelee kuzungukwa mikoani kuchomwa na jua Bure asubiri tu siku ya uchaguzi aone mafuriko ya raia wakiwa front line kumpa kura za kutosha. Lazima ashinde Kwa asilimia 90