Just Distinctions
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 3,230
- 6,742
- Thread starter
-
- #41
Wanatofautiana sana wenzetu kwenye stand up wapo njema.Daaah inamana hata wale wa original comedy hawana viwango kwa hao wakenya?
MC pilipili hajui kuchekesha anapiga tu kelele.Huyo MC Pilipili alialikwa Churchil Live. Tena kwenye hafla ya kimataifa Laugh Festival ambayo humo ndani kulikuwa na mrwanda, waganda wakali mmoja wao akiwa ni Salvador na mnigeria mashuhuri Basket Mouth. Alafu Pilipili mwenyewe akatupa fursa. Tafuta hiyo clip yake akiperform, nakuambia utalia badala ya kucheka.
Aisee nimejaribu ila nimeshindwa huyu jamaa anafosi tu.Huyo pilipili sijawahi kumuelewa hata kidogo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mtafute umpe sapotiShida kubwa, kando na jokes zake dry, ni sauti yake ya mwalimu wa driving school. Kanyaagaah..... maafuuutah! Hahaha! [emoji1] Nitamtafuta nimuuzie jokes mbili tatu.
Sio lafudhi tu hata jinsi wanavyopangilia zile topic zao ni konki.Kinachofanya comedy ya kenya ni ile lafudhi ya maneno ,ndio kitu nimenote kuanzia kwa akina mwala mama kajembe,mzee ojwang na hao waliofuatia akina chachirl
Vipengele ni vingi ila hiki ni kimojawapo.YANI WEWE NA AKILI ZAKO UMEONA COMEDY TU? HUJAONA VINGINE?
DJ shitiMi shitii ndio best comedian kwangu.
Yes mkuu we unawachukuliaje hawa kwa upande wako?Sijakuelewa jombaa, unamaanisha hawa hawa Orijino Komedi? [emoji15]
Hata maigizo ya kawaida walikua wamefika mbali sana sijui walipotelea wapi
1. wakumbuka igizo la tausi enzi zile ITV ndio inaanza? mzee kasri, nk
2. wakumbuka vichekesho vya akina mzee ojwang
3. wakumbuka vioja mahakamani ambavyo walianzisha mahususi baada ya kuwa wanawakamata Watanzania na wakiwapeleka mahakamani wanawashinda ikabidi waanzishe kipindi hicho ambacho mbali na kuchekesha kilikuwa kinafundisha taratibu na mwenendo wa kesi za jinai mahakamani?
4. Nikuulize leo ze komed,orijino komedy na futari kuna kitu wanachofundisha kwenye michezo yao zaidi ya kuongea maujinga ujinga tuu?
5. AFADHALI AKINA MZEE SUMAKU, NA MIZENGWE YAO HUWA MAIGIZO YAO YANAUJUMBE ANGALAU
mtafute sleepy david .gasper murume na king wa comedy kenya MC TRICKYYaani katika vipengele vyote vya sanaa na burudani wakenya wanatuzidi Kwenye comedy tu. Stand up comedy wakenya wametuacha mbali kwa kweli. Jamani bongo ni shida!!
Hivi ushawahi kuhudhuria stand up comedy za kibongo au hata kuangalia video clip youtube?? Yaani ni pumba tu na vituko flani hivi vya kukera maana wabongo bado wana zile depo za zama za ujima kujipaka masizi au kuvaa mabwanga na marapurapu ili kuchekesha.
Ndio sikatai kwenye mziki tumewaacha mbali hawa jamaa ila kwenye comedy tuna mengi ya kujifunza kutoka kwao unaebisha tazama show ya churchill uone shughuli yake jamaa wapo vizuri huwezi linganisha na hawa wachekeshaji shobo wakina dullvan n.k
Comedian naowakubali sana toka kenya ni pamoja YY dah huyu jamaa ni fundi wa mafundi( kama humjui nenda youtube u'll thank me later) kuna prof Hamo, Rib crakaz na pia kuna Ayeya AKA(so sad katangulia mbele za haki)
wengine ongezea unaowajua.....
#DG
Hahahahah...Mi shitii ndio best comedian kwangu.
Pia kuna mtu anaitwa Henry Desagumtafute sleepy david .gasper murume na king wa comedy kenya MC TRICKY
Kweli kadhalilisha nchi lakini kaongea ukweli mtupu.I watched one video which was uploaded by churchill..Alikuwa anaongea kuhusu kimombo cha wabongo. Hapo ndipo nilikuja kumfahamu. Wabongo walimkashifu sana.walisema anadhalilisha nchi yao.
Hao ndio wale ambao mama zetu walikuwa wanawatumia kama silaha kali wakati tulipokuwa vijitoto. Wewe!!! Malizeni chakula hicho chote ama niwaite wale ankoo wa orijino komedi..... marathon ya vijiko inaanza fasta...[emoji23][emoji23][emoji23]Yes mkuu we unawachukuliaje hawa kwa upande wako?
Hahaha! [emoji1][emoji1][emoji1] Dj Shiti katika ubora wake.Hahahahah...nikicheka sana hii video
Unawajua wote? Mpaka tchr wanjiku?wabongo husema hawajui mkenya yeyote. Leo nimestaajabu ya firaunChurchill Show ni noma sana, siwezi kosa tazama ntv.. MCA Tricky, MC Jessey, DJ Shiti, David the student, MC hashy, prof Hamo, mamito,zedii, samira naye anakuja vizuri,Churchill, kuna madogo wapya wapya kama watatu hivi wanakuja moto, teacher wanjiku,,YY(huyu jamaa ni msabato),captain Otoyo, Pastor Kulia naona uchungaji umekolea now days simuoni,, Ayeiya poa poa R.I.P Mr Makori...
ngoja nimuone chapuPia kuna mtu anaitwa Henry Desagu