Amini Kwamba Wakenya wanatuzidi Comedy Tu

Amini Kwamba Wakenya wanatuzidi Comedy Tu

Huyo MC Pilipili alialikwa Churchil Live. Tena kwenye hafla ya kimataifa Laugh Festival ambayo humo ndani kulikuwa na mrwanda, waganda wakali mmoja wao akiwa ni Salvador na mnigeria mashuhuri Basket Mouth. Alafu Pilipili mwenyewe akatupa fursa. Tafuta hiyo clip yake akiperform, nakuambia utalia badala ya kucheka.
MC pilipili hajui kuchekesha anapiga tu kelele.

#DG
 
Kinachofanya comedy ya kenya ni ile lafudhi ya maneno ,ndio kitu nimenote kuanzia kwa akina mwala mama kajembe,mzee ojwang na hao waliofuatia akina chachirl
Sio lafudhi tu hata jinsi wanavyopangilia zile topic zao ni konki.



#DG
 
Sijakuelewa jombaa, unamaanisha hawa hawa Orijino Komedi? [emoji15]
1302618477_orijino-komedi-group.jpg
Yes mkuu we unawachukuliaje hawa kwa upande wako?
 
Churchill Show ni noma sana, siwezi kosa tazama ntv.. MCA Tricky, MC Jessey, DJ Shiti, David the student, MC hashy, prof Hamo, mamito,zedii, samira naye anakuja vizuri,Churchill, kuna madogo wapya wapya kama watatu hivi wanakuja moto, teacher wanjiku,,YY(huyu jamaa ni msabato),captain Otoyo, Pastor Kulia naona uchungaji umekolea now days simuoni,, Ayeiya poa poa R.I.P Mr Makori...
 
Hata maigizo ya kawaida walikua wamefika mbali sana sijui walipotelea wapi

1. wakumbuka igizo la tausi enzi zile ITV ndio inaanza? mzee kasri, nk

2. wakumbuka vichekesho vya akina mzee ojwang

3. wakumbuka vioja mahakamani ambavyo walianzisha mahususi baada ya kuwa wanawakamata Watanzania na wakiwapeleka mahakamani wanawashinda ikabidi waanzishe kipindi hicho ambacho mbali na kuchekesha kilikuwa kinafundisha taratibu na mwenendo wa kesi za jinai mahakamani?

4. Nikuulize leo ze komed,orijino komedy na futari kuna kitu wanachofundisha kwenye michezo yao zaidi ya kuongea maujinga ujinga tuu?

5. AFADHALI AKINA MZEE SUMAKU, NA MIZENGWE YAO HUWA MAIGIZO YAO YANAUJUMBE ANGALAU

Labda tu nikuambie umewahi zifuatilia shows kama the real house helps of kawangware?(japo imesimama hivi karibuni) Kuna Show inarushwa maisha magic east (wenye dstv wanaijua hii channel) inaitwa Sue na Jonnie kuna Baba yao ambayo inarushwa KTN na nyingine nyingi...

Nadhanj wewe ndio huwafuatilii hawa jamaa...
 
Yaani katika vipengele vyote vya sanaa na burudani wakenya wanatuzidi Kwenye comedy tu. Stand up comedy wakenya wametuacha mbali kwa kweli. Jamani bongo ni shida!!

Hivi ushawahi kuhudhuria stand up comedy za kibongo au hata kuangalia video clip youtube?? Yaani ni pumba tu na vituko flani hivi vya kukera maana wabongo bado wana zile depo za zama za ujima kujipaka masizi au kuvaa mabwanga na marapurapu ili kuchekesha.

Ndio sikatai kwenye mziki tumewaacha mbali hawa jamaa ila kwenye comedy tuna mengi ya kujifunza kutoka kwao unaebisha tazama show ya churchill uone shughuli yake jamaa wapo vizuri huwezi linganisha na hawa wachekeshaji shobo wakina dullvan n.k

Comedian naowakubali sana toka kenya ni pamoja YY dah huyu jamaa ni fundi wa mafundi( kama humjui nenda youtube u'll thank me later) kuna prof Hamo, Rib crakaz na pia kuna Ayeya AKA(so sad katangulia mbele za haki)

wengine ongezea unaowajua.....

#DG
mtafute sleepy david .gasper murume na king wa comedy kenya MC TRICKY
 
I watched one video which was uploaded by churchill..Alikuwa anaongea kuhusu kimombo cha wabongo. Hapo ndipo nilikuja kumfahamu. Wabongo walimkashifu sana.walisema anadhalilisha nchi yao.
Kweli kadhalilisha nchi lakini kaongea ukweli mtupu.
 
Yes mkuu we unawachukuliaje hawa kwa upande wako?
Hao ndio wale ambao mama zetu walikuwa wanawatumia kama silaha kali wakati tulipokuwa vijitoto. Wewe!!! Malizeni chakula hicho chote ama niwaite wale ankoo wa orijino komedi..... marathon ya vijiko inaanza fasta...[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Churchill Show ni noma sana, siwezi kosa tazama ntv.. MCA Tricky, MC Jessey, DJ Shiti, David the student, MC hashy, prof Hamo, mamito,zedii, samira naye anakuja vizuri,Churchill, kuna madogo wapya wapya kama watatu hivi wanakuja moto, teacher wanjiku,,YY(huyu jamaa ni msabato),captain Otoyo, Pastor Kulia naona uchungaji umekolea now days simuoni,, Ayeiya poa poa R.I.P Mr Makori...
Unawajua wote? Mpaka tchr wanjiku?wabongo husema hawajui mkenya yeyote. Leo nimestaajabu ya firaun
 
Back
Top Bottom