Amini Kwamba Wakenya wanatuzidi Comedy Tu

Just Distinctions

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2016
Posts
3,230
Reaction score
6,742
Yaani katika vipengele vyote vya sanaa na burudani wakenya wanatuzidi Kwenye comedy tu. Stand up comedy wakenya wametuacha mbali kwa kweli. Jamani bongo ni shida!!

Hivi ushawahi kuhudhuria stand up comedy za kibongo au hata kuangalia video clip youtube?? Yaani ni pumba tu na vituko flani hivi vya kukera maana wabongo bado wana zile depo za zama za ujima kujipaka masizi au kuvaa mabwanga na marapurapu ili kuchekesha.

Ndio sikatai kwenye mziki tumewaacha mbali hawa jamaa ila kwenye comedy tuna mengi ya kujifunza kutoka kwao unaebisha tazama show ya churchill uone shughuli yake jamaa wapo vizuri huwezi linganisha na hawa wachekeshaji shobo wakina dullvan n.k

Comedian naowakubali sana toka kenya ni pamoja YY dah huyu jamaa ni fundi wa mafundi( kama humjui nenda youtube u'll thank me later) kuna prof Hamo, Rib crakaz na pia kuna Ayeya AKA(so sad katangulia mbele za haki)

wengine ongezea unaowajua.....

#DG
 
Hata maigizo ya kawaida walikua wamefika mbali sana sijui walipotelea wapi

1. wakumbuka igizo la tausi enzi zile ITV ndio inaanza? mzee kasri, nk

2. wakumbuka vichekesho vya akina mzee ojwang

3. wakumbuka vioja mahakamani ambavyo walianzisha mahususi baada ya kuwa wanawakamata Watanzania na wakiwapeleka mahakamani wanawashinda ikabidi waanzishe kipindi hicho ambacho mbali na kuchekesha kilikuwa kinafundisha taratibu na mwenendo wa kesi za jinai mahakamani?

4. Nikuulize leo ze komed,orijino komedy na futari kuna kitu wanachofundisha kwenye michezo yao zaidi ya kuongea maujinga ujinga tuu?

5. AFADHALI AKINA MZEE SUMAKU, NA MIZENGWE YAO HUWA MAIGIZO YAO YANAUJUMBE ANGALAU
 
Kinacho tu cost ni kwasababu Comedians wetu wanataka kuwa copy hawa jamaa wa Churchill na hapo ndo vituko vinaanza. Sasa kwa mtu anaeangalia churchil ukiangalia hizi za kibongo unaskia kukereka kwasabab ni kama wanataka kurudia baadhi ya jokes za watu wengine
 
Yaani katika vipengele vyote vya sanaa na burudani wakenya wanatuzidi Kwenye comedy tu. Stand up comedy wakenya wametuacha mbali kwa kweli. Jamani bongo ni shida!!

Hivi ushawahi kuhudhuria stand up comedy za kibongo au hata kuangalia video clip youtube?? Yaani ni pumba tu na vituko flani hivi vya kukera maana wabongo bado wana zile depo za zama za ujima kujipaka masizi au kuvaa mabwanga na marapurapu ili kuchekesha.

Ndio sikatai kwenye mziki tumewaacha mbali hawa jamaa ila kwenye comedy tuna mengi ya kujifunza kutoka kwao unaebisha tazama show ya churchill uone shughuli yake jamaa wapo vizuri huwezi linganisha na hawa wachekeshaji shobo wakina dullvan n.k

Comedian naowakubali sana toka kenya ni pamoja YY dah huyu jamaa ni fundi wa mafundi( kama humjui nenda youtube u'll thank me later) kuna prof Hamo, Rib crakaz na pia kuna Ayeya AKA(so sad katangulia mbele za haki)

wengine ongezea unaowajua.....

#DG
Eric Omondi, the greatest of all
 
Hata maigizo ya kawaida walikua wamefika mbali sana sijui walipotelea wapi

1. wakumbuka igizo la tausi enzi zile ITV ndio inaanza? mzee kasri, nk

2. wakumbuka vichekesho vya akina mzee ojwang

3. wakumbuka vioja mahakamani ambavyo walianzisha mahususi baada ya kuwa wanawakamata Watanzania na wakiwapeleka mahakamani wanawashinda ikabidi waanzishe kipindi hicho ambacho mbali na kuchekesha kilikuwa kinafundisha taratibu na mwenendo wa kesi za jinai mahakamani?

4. Nikuulize leo ze komed,orijino komedy na futari kuna kitu wanachofundisha kwenye michezo yao zaidi ya kuongea maujinga ujinga tuu?

5. AFADHALI AKINA MZEE SUMAKU, NA MIZENGWE YAO HUWA MAIGIZO YAO YANAUJUMBE ANGALAU
Ni kweli.

#DG
 
Ukwel usemwe tz tunafoc tu no talent, wakenya wako vzr xn next leval ila itoshe kusema mm napenda kumwangalia MCA TRICKY, NJUGUNA, na MAMITO.nikiwa nimeboreka huwa wananipa maisha mapya[emoji120]
 
Idris sultan
Hormones
Mc pilipili
Huyo MC Pilipili alialikwa Churchil Live. Tena kwenye hafla ya kimataifa Laugh Festival ambayo humo ndani kulikuwa na mrwanda, waganda wakali mmoja wao akiwa ni Salvador na mnigeria mashuhuri Basket Mouth. Alafu Pilipili mwenyewe akatupa fursa. Tafuta hiyo clip yake akiperform, nakuambia utalia badala ya kucheka.
 
Huyo MC Pilipili alialikwa Churchil Live. Tena kwenye hafla ya kimataifa Laugh Festival ambayo humo ndani kulikuwa na mrwanda, waganda wakali mmoja wao akiwa Salvador na mnigeria mashuhuri Basket Mouth. Alafu Pilipili mwenyewe akatupa fursa. Tafuta hiyo clip yake akiperform, nakuambia utalia badala ya kucheka.
I watched one video which was uploaded by churchill..Alikuwa anaongea kuhusu kimombo cha wabongo. Hapo ndipo nilikuja kumfahamu. Wabongo walimkashifu sana.walisema anadhalilisha nchi yao.

Shida kubwa, kando na jokes zake dry, ni sauti yake ya mwalimu wa driving school. Kanyaagaah..... maafuuutah! Hahaha! [emoji1] Nitamtafuta nimuuzie jokes mbili tatu.
 
Back
Top Bottom