Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Boss inaoneka kama umegongwa na nyoka!KAKA ZANGU [emoji1314]Mwanamke pekee unaeweza mmiliki ni binti/mwanao wa kike tu
DADA ZANGU[emoji1314]Mwanaume pekee unaeweza kummiliki ni your SON tu.....
ZINGATIA ILO WENGINEO NI KAZI YA ZIADA TU
Ahahaha kwann mkuuBoss inaoneka kama umegongwa na nyoka!
Maneno kama hayo huwa hayatoki hivi hiviAhahaha kwann mkuu
Ni kweli Yanaambatana na ukweli fulan lakin mi nimewakumbusha tuManeno kama hayo huwa hayatoki hivi hivi
Basi Asante sana kwa ukumbusho wako BUTNi kweli Yanaambatana na ukweli fulan lakin mi nimewakumbusha tu
Imani ipo tatizo ipo kiasi gani kwa maana ata ukiwa nayo 100% haimaanishi kuwa utakua salama 100%Basi Asante sana kwa ukumbusho wako BUT
Kuishi bila ya IMANI nikuishi maisha ya MASHAKA sana!
Kwa mantiki hiyo hata hao ulio wataja hukupaswa kuwatajaImani ipo tatizo ipo kiasi gani kwa maana ata ukiwa nayo 100% haimaanishi kuwa utakua salama 100%
Kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii thread ni ya recycle bin...!
Kwa uelewa wangu nipo sahihi labda kama unauelewa zaid ya apo uniaminisheKwa mantiki hiyo hata hao ulio wataja hukupaswa kuwataja
Labda uliosema kumiliki ulimaanisha nini boss?Kwa uelewa wangu nipo sahihi labda kama unauelewa zaid ya apo uniaminishe
KAKA ZANGU [emoji1314]Mwanamke pekee unaeweza mmiliki ni binti/mwanao wa kike tu
DADA ZANGU[emoji1314]Mwanaume pekee unaeweza kummiliki ni your SON tu.....
ZINGATIA ILO WENGINEO NI KAZI YA ZIADA TU
Namaanisha kuwa dam yako tu ndio waweza kuwa na imani nayo 100% unaweza ukawa na mke/mme ukaamin kwamba n wako lkn anaweza kuacha ila kwa upande wa mtoto wako/dam yako hyo n tofaut ata itokee nn uyo n wako tuLabda uliosema kumiliki ulimaanisha nini boss?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]amini kwamba hii ni ngumu kumezaAmini kwamba hata binti unaweza kudhani unammiliki kumbe sio mwanao!