Amini kwamba

Amini kwamba

Half american

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
38,283
Reaction score
97,793
KAKA ZANGU [emoji1314]Mwanamke pekee unaeweza mmiliki ni binti/mwanao wa kike tu
DADA ZANGU[emoji1314]Mwanaume pekee unaeweza kummiliki ni your SON tu.....
ZINGATIA ILO WENGINEO NI KAZI YA ZIADA TU
 
KAKA ZANGU [emoji1314]Mwanamke pekee unaeweza mmiliki ni binti/mwanao wa kike tu
DADA ZANGU[emoji1314]Mwanaume pekee unaeweza kummiliki ni your SON tu.....
ZINGATIA ILO WENGINEO NI KAZI YA ZIADA TU

MKUU
Kama ilivyo macho kuwa na ukomo wa kuona
Masikio kuwa na ukomo wa kusikia,
Basi akili nayo ina ukomo wa kufikiri,

Wanawake wazuri wapo na unaweza kumliki
Na wanaume wazuri wapo na waweza mmiliki,
Kwa sharti la KUJIEGEMEZA KWA ALIYEWAUMBA WOTE HAO KATIKA KUMTAFUTA HUYO MWENZA,
Ama ukitumia akili yako lazma yatatokea hayo unayoyasema.

Tambua kama wewe ni Mlevi basi tarajia kuoa mlevi
Mzinzi kwa mzinzi
Mshirikina kwa mshirikina.
Ukiona haupo hivyo na umepata mtu wa aina hiyo Basi huo ni mtihan kwako na MOLA wako anakupima.
 
mabinti wajanja wa mjini wameshafanya yao 😂😂😂😂

pole sana mkuu....nahisi kama umechelewa kugundua
 
Labda uliosema kumiliki ulimaanisha nini boss?
Namaanisha kuwa dam yako tu ndio waweza kuwa na imani nayo 100% unaweza ukawa na mke/mme ukaamin kwamba n wako lkn anaweza kuacha ila kwa upande wa mtoto wako/dam yako hyo n tofaut ata itokee nn uyo n wako tu
 
Sawa sawa mkuu nakubali unampata anaekustahili sio unaemtaka si ndio ivo.??
 
Back
Top Bottom