Kama nyimbo zipi?
Kama nyimbo zipi?
Atatamani - Lina... Niko radhi, Naamini kama wanipenda, mama Kumbena n.k - Banana. Nyimbo karibia zote za Jide huwa anaimba feelings zake binafsi ndio maana zinagusa ukiacha hizi za sikuiz za akina Yahaya ila Jide wa enzi za Machozi, Siri yangu, Usiusemee moyo,Siku hazigandi,Faraja,Machozi ya furaha,Natamani kuwa mtoto n.k huwa anaimba matukio yake binafsi.

Na Yahaya pia ni tukio la kweli
Na Yahaya pia ni tukio la kweli
Binamu soma vizuri ninesema karibia zote ina maana sio zote na nimesema za zamani ukiacha za sikuiz nikatolea mfano Yahaya.
Umaonekana team jide binamu. Good
Hahhhha hahhh
Atatamani - Lina... Niko radhi, Naamini kama wanipenda, mama Kumbena n.k - Banana. Nyimbo karibia zote za Jide huwa anaimba feelings zake binafsi ndio maana zinagusa ukiacha hizi za sikuiz za akina Yahaya ila Jide wa enzi za Machozi, Siri yangu, Usiusemee moyo,Siku hazigandi,Faraja,Machozi ya furaha,Natamani kuwa mtoto n.k huwa anaimba matukio yake binafsi.
Unanicheka nimekosea ku type
kuna kipindi clouds waliweka wimbo wa jide wakati gadner yupo wakawa wanasema yaani
dada yetu ye kila siku analalamika mapenzi garder hebu punguza kumstress dada yetu ilikuwa kwenye jahazi nadhan