Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Hawa kwa sehemu kubwa waliimba uhalisia wengi wao wakiimba moja kwa moja matukio yao halisi yaliyowatokea Ndio maana nyimbo zao nyingi zina hisia za kweli na uhai ndani yake na hazichuji
kwa nyakati tofauti walipofanyiwa mahojiano walieleza kwa uwazi kuwa nyimbo zao hizo ni matukio ya kweli
Chochote chenye uhalisia hubeba hisia za ndani kabisa ambapo kila mmoja ausikiaye ujumbe husika huguswa kwa njia moj au nyingine
Nawapongeza mno