Uchaguzi 2020 Amini nawaambia, ni heri Lissu na Mnyika wawe Bungeni. Wakibaki nje ya Bunge wataisambaratisha CCM!

Watabaki mitaani wanazurura ovyo!
 
Scenario 1: Ataunda Tume Huru ya uchaguzi halafu analivunja Bunge na kuitisha uchaguzi mpya! Hapo anairudisha Treni kwenye reli na safari mpya ya UHURU, HAKI & MAENDELEO YA WATU inaendelea bila vipingamizi!
 
Scenario 1: Ikitokea hivyo atawanunua Wabunge wa CCM kama CCM ilivyonunua wa CHADEMA na mambo yataendelea
Unavunja bunge na kutangaza uchaguzi mwingine tu ndio dawa na uchaguzi unafanyika bila kampeni ili wote waliopita bila kupigwa wapigwe chini.

Ningekuwa Ni Lissu first process inakuwa hiyo baada ya kuapishwa.
 
Unavunja bunge na kutangaza uchaguzi mwingine tu ndio dawa na uchaguzi unafanyika bila kampeni ili wote waliopita bila kupigwa wapigwe chini.

Ningekuwa Ni Lissu first process inakuwa hiyo baada ya kuapishwa.

..ni vigumu kuvunja kama hana control na wabunge kwa maana ya idadi.

..wabunge wanaweza kumu-impeach Raisi anayeonekana kwenda kinyume na katiba.

..anachoweza kufanya ni kuunda serikali ya mseto itakayokuwa na Waziri Mkuu CCM na mawaziri toka vyama vingine, hata kama CCM watakuwa majority ktk baraza la mawaziri.

..lakini pia Raisi ana nafasi nyingi sana za uteuzi ambazo ziko ktk mamlaka yake. Hata akikosa wabunge Raisi anao wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, makatibu tawala, etc etc ambao anaweza kuwateua.

..ili kuondoa uhasama wa kisiasa unaochipuka nchini natamani Raisi atoke vyama ambavyo ni vya upinzani sasa hivi, na aunde serikali ya mseto.
 
Mteja kapuliza sigara bwege anaota yuko ndani ya kasri la malikia huko ulaya
 
Vipi Arusha jana.

Ulifanikiwa au kama Zakheem?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…