Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 4,095
- 13,016
Simba sc msimwage damu kuelekea hii mechi, toeni sadaka safi, hakika Mungu atakisia kilio chenu, washirikisheni viongizi wa dini kama mlivyifanya robo fainal.
Nyota ya mchezo ipo upande wenu, msije mkafanya makosa, nasisitiza msimwage damu.
Turudi kwenye mada, wakuu siyo mara ya kwanza rs berkane kufungwa na simba, mara ya mwisho simba anamfunga Berkane, Berkane alikuwa bingwa wa haya mashindano.
Msimu huu Rs yupo bora sana, ila Kuna kitu Mungu kakipanga dhidi ya simba sc msimu huu, sote tuliona ile mechi kule Morocco, simba sc angepasuka goli nyingi sana,ila Mungu yupo upande wao. Kwa hizi siku kadhaa zilizobaki wasije wakafanya makosa.
Nawasii kesho nendeni mkatoe misaada kwa wasio jiweza, kwa maono yangu naliona goli moja, ila kwa hizi siku zilizobaki mkiendelea kuijinyenyekeza mbele za Mungu, hakika nawaambia kuna maajabu. Ahmed Ally epuka maneno ya kejeli utaharibu.