Amini usiamini, hii ndo hali halisi ya celebrities wetu

youngdonats18

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2015
Posts
685
Reaction score
443
Kwa uchunguzi uliofanyika kwa muda wa miezi miwili imegundulika kuwa TZ inaongoza kwa idadi kubwa ya macelebrity kwakua asilimia 90 ya watanzania ni macelebrity na hii inatokana na umaarufu tulionao na vijimambo tulivyonavyo.?!

Baada ya kujiongeza nikahisi umaarufu huu umetokana na hisia Kali katika mitandao ya kijamii.

Wewe unahisi ni kwasababu gani?
 
ukosefu wa elimu tu Ndio kunawafanya wajione maarufu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…