Amini usiamini kuna wanawake wanatosheleza kila engo. Ni wewe na tamaa zako tu!

amshapopo

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2014
Posts
2,533
Reaction score
5,837
Kiukweli kuna wanawake wanatosheleza kila kona mpaka unajiuliza huyu vipi?
Ukiwa na hamu yupo radhi afanye afanyavyo urizike.

Akijifungua hakuachi uwe na hamu utafute mwingine

Akiwa P anajitahidi akuridhishe ili mradi uridhike

Kiufipi anakuhudumia kila hali…… Je wapo wa dizaini hii? Tule experience
 
Wewe akili zako zinakifundisha kwamba mwanamke ni ngono tu?
 
Hapo kwenye P anajitahidi vipi, hebu toa ufafanuzi kidogo.
 
Walikufa kwenye vita ya maji maji.
 
Mkuu wapo , mara zote hao.huwa michepuko au single mom

(Na wew ana uwezo wakuzibeba changamoto zake dah utajuta kwann ulio huyo sio huyo (mchepuko)
 
We ni fara kichwa Cha habari na habari ni mbingu na ardhi
 
Shida yako ukiona sketi tu pepo la ngono linaibuka.

Pepo shindwa
 
We ni fara kichwa Cha habari na habari ni mbingu na ardhi
Hata mi naona hivo, nilidhani anamaanisha uzuri wa sura, umbo, tabia, elimu na vingine vingi ambavyo mwanaume anavihitaji kwa mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…