Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watakuwa nyuma ya jdRuge na lady jay d wakipatana sijui wale team anaconda watakuwa wap?
wap matumbo ww tokea kitambo c ulikuwa unaitetea clouds fm leo eti wameenda na baba yao;; poa ila boss wako ruge ubaya wake tunaujua hata kama hao mapacha wameendekeza njaa zaoAiitaji picha mkuu,walienda na baba yao mzazi kwa Ruge.
Je,huo unyonyaji wa wasanii waliokuwa wanaupinga kwa nguvu zote umekwisha?
Je,zile harakati walizokua wanazifanya dhidi ya Clouds Media Group zimeisha baada ya kuugulia njaa kwa kipindi kirefu?
Je,hao Clouds ni wakina nani mpaka waamue hatma ya maisha ya mtu?
Hayo ni maswali ninayojiuliza kwa sasa..............KWELI NJAA MWANAHARAMU,HARAKATI ZOTE ZILE,LEO WANAPIGA MAGOTI!!!!!!!!
Hakuna msanii wa bongo fleva asiyevuta bange..
Mapacha heshima yote niliyowapa binafsi nimeivua! Kwanza maisha yenu hayawezi kubadilishwa na Clouds na hilo mtaliona very soon.Yuko wapi Afande Sele aliyewasaliti Vinega akajiunga kwenye tamasha la Clouds? Clouds wanamsaidia nini sasa hivi? Inspector Harun? Mmejidhalilisha pamoja na heshima kubwa mliyokuwa mmebeba kwa muda mrefu.
Ugumu wa maisha unaweza kufanya mliyofanya lakini bado si suluhisho ni wakati tu ndio maana Lost boys, Naughty by Nature n.k wamebaki historia.Hip hop yenu iliyowatambulisha hamuwezi kulazimisha kubadilisha sasa zaidi ya kutafuta harakati zingine za maisha.
Fid Q anafanya shoo ngapi? ana nyimbo gani hit sasa hivi? Lakini mbona bado muziki ndio unaomuweka mjini kupitia project kibao za hip hop? Fungueni akili mtumie muziki kusonga zaidi ya kudhalilisha harakati zenu halali ambazo hata kama zisingezaa matunda leo lakini historia ingewakumbuka vizazi vyote kwa misimamo yenu.
Maisha yoyote lazima mtu uweke misingi ili usiishi kwa kumtegemea mtu badala ya Mungu.Muziki mzuri unakwenda na wakati uliopo utakuwa maarufu tu na mfano mzuri ni Yahaya ya Lady JD ambao umeanza kutamba kwenye mabaa na mitaani kabla hata ya radioni na Clouds hawajawahi kuupiga hata mara mojba!
Wasanii vipaji vyenu visiwageuze watumwa badala ya kuwatumikia! :mvutaji:
umevurugwa
Jana nimepita Pale Mwenge, pale wanapofanyia kazi Maujanja Saplayaz nikamkuta Dotto.
Ninamuuliza kuhusu hii stori, akacheka sana, anasema kitu kama hicho hakipo.
Anasema hata ule Mkataba waliosaini kati ya Ruge na Sugu kumaliza bifu, katika Mambo kumi na moja aliyopashwa kufanya Ruge hajafanya hata Moja.
Hata studio aliyoitoa Raisi bado Ruge kagoma kuitoa kwa BASATA ili itumike kwa wasanii wote badala yake Studio kaiacha THT kinyume na walivyokubaliana na SUGU.
"So kwa ufupi hiyo habari ni ya uongo, labda mtu kalipwa kuiweka humo " - Dotto.