Amini Usiamini: Mapacha wa AntiVirus wamuomba msamaha Ruge

Hivi yale Matamasha ya Vinega(sugu)yameishia wapi
 
Aiitaji picha mkuu,walienda na baba yao mzazi kwa Ruge.
wap matumbo ww tokea kitambo c ulikuwa unaitetea clouds fm leo eti wameenda na baba yao;; poa ila boss wako ruge ubaya wake tunaujua hata kama hao mapacha wameendekeza njaa zao
 
Last edited by a moderator:

Majibu ya yote hayo sikiliza wimbo mpya wa ROMA KKK
 
Mapacha heshima yote niliyowapa binafsi nimeivua! Kwanza maisha yenu hayawezi kubadilishwa na Clouds na hilo mtaliona very soon.Yuko wapi Afande Sele aliyewasaliti Vinega akajiunga kwenye tamasha la Clouds? Clouds wanamsaidia nini sasa hivi? Inspector Harun? Mmejidhalilisha pamoja na heshima kubwa mliyokuwa mmebeba kwa muda mrefu.

Ugumu wa maisha unaweza kufanya mliyofanya lakini bado si suluhisho ni wakati tu ndio maana Lost boys, Naughty by Nature n.k wamebaki historia.Hip hop yenu iliyowatambulisha hamuwezi kulazimisha kubadilisha sasa zaidi ya kutafuta harakati zingine za maisha.

Fid Q anafanya shoo ngapi? ana nyimbo gani hit sasa hivi? Lakini mbona bado muziki ndio unaomuweka mjini kupitia project kibao za hip hop? Fungueni akili mtumie muziki kusonga zaidi ya kudhalilisha harakati zenu halali ambazo hata kama zisingezaa matunda leo lakini historia ingewakumbuka vizazi vyote kwa misimamo yenu.

Maisha yoyote lazima mtu uweke misingi ili usiishi kwa kumtegemea mtu badala ya Mungu.Muziki mzuri unakwenda na wakati uliopo utakuwa maarufu tu na mfano mzuri ni Yahaya ya Lady JD ambao umeanza kutamba kwenye mabaa na mitaani kabla hata ya radioni na Clouds hawajawahi kuupiga hata mara moja!

Wasanii vipaji vyenu visiwageuze watumwa badala ya kuwatumikia! :mvutaji:
 
wap matumbo ww tokea kitambo c ulikuwa unaitetea clouds fm leo eti wameenda na baba yao;; poa ila boss wako ruge ubaya wake tunaujua hata kama hao mapacha wameendekeza njaa zao

umevurugwa
 
Last edited by a moderator:
Antivirus hakuna tena siri kua rughe mwizi, rugay aondoke au clouds tui close. Pin lawyer. Dah kila la heri Mapacha.
 
njaa kweli humfanya adui afanye mikono, lakini wakumbuke clouds hawawezi kuwapa maisha. nakumbuka wasanii walivyokuwa wanachomoa kupiga show ya Jide kisa wanamuogopa ruge na clouds yake. yaani matonya mpaka tid mtoto wa mjini wote walisanda, yaani hadi unajiuliza wana nini hao wanaoogopwa kama Mungu!?
 
ukijaribu kuipinga clouds ni sawa na kujaribu kufiiiraaa mkunnduuuuu wako mwenyewe hutoweza sorry mapacha pesa inaongea harakati bila pesa ni usengeeeeee
 
Cjwahi kuona mahali popote.ambapo chuko iliteta faida hakuna7bu ya kuwajeli dunia yenyewe hii haina mwenyeji team anakonda pls mapatano ndo jambo kubwa aman Jaman wote wanaumhimh ktk jamii mbaya hua hatukumbuki tuliko toka dah
 
Jana nimepita Pale Mwenge, pale wanapofanyia kazi Maujanja Saplayaz nikamkuta Dotto.

Ninamuuliza kuhusu hii stori, akacheka sana, anasema kitu kama hicho hakipo.

Anasema hata ule Mkataba waliosaini kati ya Ruge na Sugu kumaliza bifu, katika Mambo kumi na moja aliyopashwa kufanya Ruge hajafanya hata Moja.

Hata studio aliyoitoa Raisi bado Ruge kagoma kuitoa kwa BASATA ili itumike kwa wasanii wote badala yake Studio kaiacha THT kinyume na walivyokubaliana na SUGU.

"So kwa ufupi hiyo habari ni ya uongo, labda mtu kalipwa kuiweka humo " - Dotto.
 

Mtazamo nimemukuelewa saana Brother. Ushauri wako kuna kitu umenifungua ktk Maisha niyaishiyo.
 
Wakamuombe msamaha na Mwanafa. Ngoja niirudie kusikiliza kuanzia ANT VIRUS VOL1 NA 2 ZOTE ZIISHE KABLA BUNGE HALIJAANZA!
 

Duh Tembele! unajua imenichukua zaidi ya siku tatu kuamini kama kuna ukweli kwenye habari hii? Baada ya kuona hakuna kanusho nikaanza kuamini hasa niliposikia Mkoloni ame confirm.Mapacha wana misimamo mikali mno na binafsi nimezungumza nao mara nyingi lakini tumeambiwa wamehojiwa kuhusu hili hadi RFA wakakubali kuomba msamaha.

Kitendo cha kuambiwa eti pia wamembeba hadi baba yao mzazi kwenda kwa Ruge kuomba msamaha kwangu ilikuwa ni bonge la udhalilishaji kwao na mzee wao!

Kama wewe binafsi unakiri kuzungumza nao na wakakanusha basi hii itakuwa kitu kingine kabisa!
matumbo Muuza Sura mr gentleman
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…