Amini usiamini ngekewa ipo

Amini usiamini ngekewa ipo

Omari Makoo

Member
Joined
Sep 6, 2016
Posts
78
Reaction score
39
Kaanza Mourinho hakumtema

Kaja Scolary hajamtema

Kaja Avram Grant hajamtema

Kaja Hiddink hajamtema

Kaja Villas Boas hajamtema

Akaja Di Mateo hajamtema

Akaja Benitez hajamtema

Karudi tena Mourinho hajamtema

Karudi Hidink hajamtema

Na sasa kaja Conte hajamtema

Na hajawahi kuwa na uhakika wa first eleven

Na kila ligi ikiwa inaendelea utasikia dirisha lijalo anatemwa..likifika kimyaaaa..
.

Na hajawahi kutangazwa kwenye vyombo vya habari kuwa anaongezewa mkataba...yeye anaongezewaga kimya kimya tu....

Huyo ni Mikel Obi anangekewa kuwa yule mnyama Ngekewa mwenyewe
 
Back
Top Bottom