Amini usiamini! Nimeokota Tsh milioni 6

teh teh sasa uwe 'kikanga' angalau usiwe 'kikaniki' tena
 
Ushabeba sana na utaendelea kubeba huo ndo ujira wako,waambie sasa wasilete usiku waje muda wowote huduma ipo.
 
Jirani naomba unirudishie pesa yangu. Nakuomba uirudishe pale pale ulipoitoa vinginevyo kichwa chako kitakuwa halali yangu!
 

Usisahau Kumpa Na Mwenyezi Mungu STAHILI Yake 10% Mkuu. Uko Wapi Na Mimi Nikufuate NIJIPATANISHE Na Wewe Niupate Huo UPAKO Wako Ili Nami Sasa Ikibidi Niokote Tsh Milioni 60?
 
muwe mnatuonea, yaani siku haiwezi kuisha hivi hivi!
 
Uo n uongo wa hali ya juu mana saa iz ungekuwa umepata izo 6 mil usingewaza hata ku post hii habar humu ndan badala yake ungekuwa bar lete lete lete
 
Usilale nazo gheto leo night wenyewe watakuja kukugongea
 


Kawadanganye watoto wenzako huko fb
 
Possible kabisa, no nilishawahi okota milioni bilicanas pale uwanjani mchana kweupeeeeee
 
Kuna hela zangu sizion ndani!!! Ngoja nakuja hapo sasa hivi
 
Haya amka kapige mswaki, ndoto yako ilikua nzuri. Alafu upunguze kulala mchana mana ina ndoto za kipuuzi. pole sana mkuu
 
Shigongo kazeeka siku hizi, anahitaji vijana hodari wa kutunga hadithi zinazokaribiana na ukweli kama hizi, fursa hiyo.
 
Siyo kwamba uko ndotoni wewe? Subiri uamke ujue kama ni kweli umeokota au la.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…