Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Siyo siyo riziki, kuna mmiliki ameathirika kwa kupoteza hiyo fedha. Tangaza ili umrudishie mmiliki wake, rudisha haraka.Hongera mdau,Rizki huletwa na Muumba kwa staili tofauti,na Muumba akitaka kukupa rizki hakuandikii BARUA
Unaweza ukatangaza,lakini mtangazaji uweke masharti magumu sana,maana huenda ukampa mtu ambaye si mwenye mali,je ulishawah kufanya hivyo?katika mazingira gani?mfano miskitini utakuta mtu amepoteza labda SAA,Imam anapotangaza aidha anaweza kusema saa ila hataji aina ya saa na rangi ili kubaini mpotezaji ni yeye au lah,na hata kuulizwa uliiacha wapi?na pia wapo wanaopoteza wallet,pia yatawekwa mafumbo kadhaa ili muhusika athibitishe.Siyo siyo riziki, kuna mmiliki ameathirika kwa kupoteza hiyo fedha. Tangaza ili umrudishie mmiliki wake, rudisha haraka.
Macho kuona mkuuIlikuwa hivi:
Jirani na ninapoishi kuna eneo limetengwa na Manispaa kwa ajili ya kuhifadhi takataka kwa muda kabla gari la Manispaa halijaja kubeba taka hizo.
Wakazi wengi wa mtaa wetu huona uvivu kwenda kumwaga taka ktk chemba hiyo iliyotengwa, badala yake husubiri usiku mwingi kuja kumwaga taka zao jirani kabisa na nyumba yangu.
Asubuhi ilipofika, nikaamka na kukuta furushi la taka jirani na kwangu.
Nikaghadhibika sana
Nikaamua kulibeba furushi hilo na kulipeleka dampo (chemba). Wakati nalikokota, furushi lile likanaswa na kipande cha mti, likapasuka na uchafu ukasambaa.
Hamadi!!!!
Nilichokiona, sikuamini. Nilipigwa butwaa. Baada ya akili kuwa Sawa, nikainama na kuokota na kukimbilia nyumbani, tena chumbani kwangu.
Nimezihesabu. Zipo Tsh 6,000,000 (milioni 6).
wewe usifanye kazi, subiria hiyo rizki kutoka kwa MUUMBA
Hongera mdau,Rizki huletwa na Muumba kwa staili tofauti,na Muumba akitaka kukupa rizki hakuandikii BARUA
Ni kweli nao hubanwa na sheria za BOT ndo maana wanamuuliza sana hivo,ila huwez kukosa jibu,sasa niokote pembe la faru halafu nipeleke maliasili si nitakua chizi jamaniKwa kweli pana jamaa flan hivi nae aliolota pembe ya faru akauza 130Milioni...kama ujuavyo banki zetu hizi ukiwa na pesa mingi husumbua saana kila siku wanamhojo wapi kapata pesa nyingi hivyooo!!!
Kaza dogo,kipaji unacho!.