juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
Kwanza naomba ieleweke kwamba mimi sina team kwenye muziki.bali napenda wimbo mzuri na sio msanii.
Sasa nirejee kwenye mada,ni hivi.huyu dogo wa wasafi RAYMOND ni msanii mzuri kuliko hata DIAMOND.kasikilize salome hapo utaelewa,dogo kapiga melody yake mwenyewe na ni kali,ila Mond katembea na melody za Saida zote.hata hivo afadhari hii kabadilisha melody maana jamaa anarudia melody sana,nyimbo zake zote zina melody sawa,kifupi DIAMOND hajui kuimba sema ana bahati tu.