Amini usiamini, Raymond ni mkali kuliko Diamond

juvenile davis

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2015
Posts
4,752
Reaction score
4,467
Kwanza naomba ieleweke kwamba mimi sina team kwenye muziki.bali napenda wimbo mzuri na sio msanii.
Sasa nirejee kwenye mada,ni hivi.huyu dogo wa wasafi RAYMOND ni msanii mzuri kuliko hata DIAMOND.kasikilize salome hapo utaelewa,dogo kapiga melody yake mwenyewe na ni kali,ila Mond katembea na melody za Saida zote.hata hivo afadhari hii kabadilisha melody maana jamaa anarudia melody sana,nyimbo zake zote zina melody sawa,kifupi DIAMOND hajui kuimba sema ana bahati tu.
 
1475319534817.jpg
 
Raymond anajua sana yule dogo wcb wote hawamuwezi ila tumpe mda
 
Kwanza naomba ieleweke kwamba mimi sina team kwenye muziki.bali napenda wimbo mzuri na sio msanii.
Sasa nirejee kwenye mada,ni hivi.huyu dogo wa wasafi RAYMOND ni msanii mzuri kuliko hata DIAMOND.kasikilize salome hapo utaelewa,dogo kapiga melody yake mwenyewe na ni kali,ila Mond katembea na melody za Saida zote.hata hivo afadhari hii kabadilisha melody maana jamaa anarudia melody sana,nyimbo zake zote zina melody sawa,kifupi DIAMOND hajui kuimba sema ana bahati tu.
NA KADRI MUNAVYOZIDI KUMTAJA,NDIO ANAZIDI KUBAKI MIDOMONI MWENU NA ATAWABURUZA SANA HADI AAMUE KUACHA MUZIKI MWENYEWE. MAANA JF CELEBRIETY FORUM NI KAMA VILE FORUM KWA AJILI YAKE.
 
Bahati ndio kila ktu mkuu vpaj ni vng sana.. bahat ndio kila kitu
 
Ni kweli Raymond ni mkali ila Kwa sasa acha wamuchukulie poa poa
 
Kwanza naomba ieleweke kwamba mimi sina team kwenye muziki.bali napenda wimbo mzuri na sio msanii.
Sasa nirejee kwenye mada,ni hivi.huyu dogo wa wasafi RAYMOND ni msanii mzuri kuliko hata DIAMOND.kasikilize salome hapo utaelewa,dogo kapiga melody yake mwenyewe na ni kali,ila Mond katembea na melody za Saida zote.hata hivo afadhari hii kabadilisha melody maana jamaa anarudia melody sana,nyimbo zake zote zina melody sawa,kifupi DIAMOND hajui kuimba sema ana bahati tu.
Unalingalisha mtu mwenye nyimbo tano na mtu mwenye nyimbo hamsini. Ingefaa umfananishe Harmonize na Ravy..
 
Acheni kumfananisha Diamond na upumbavu upumbavu mwingine,huyu level zake ni za kina Wizkid,Davido,Mafikizolo,P square,Sarkodie,Tekno miles na wakali wengine,na nyuma yake kuna jembe la kuitwa ' Salaam' gwiji la kusimamia brand ya Platnums,kuna msanii gani mwingine ana meneja wa aina hiyo asiyekubali msanii wake kunyonywa kibwegebwege
 
Kwanza naomba ieleweke kwamba mimi sina team kwenye muziki.bali napenda wimbo mzuri na sio msanii.
Sasa nirejee kwenye mada,ni hivi.huyu dogo wa wasafi RAYMOND ni msanii mzuri kuliko hata DIAMOND.kasikilize salome hapo utaelewa,dogo kapiga melody yake mwenyewe na ni kali,ila Mond katembea na melody za Saida zote.hata hivo afadhari hii kabadilisha melody maana jamaa anarudia melody sana,nyimbo zake zote zina melody sawa,kifupi DIAMOND hajui kuimba sema ana bahati tu.

Kweli kabisa
 
Back
Top Bottom