juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
Raymond anajua sana yule dogo wcb wote hawamuwezi ila tumpe mdaKwanza naomba ieleweke kwamba mimi sina team kwenye muziki.bali napenda wimbo mzuri na sio msanii.
Sasa nirejee kwenye mada,ni hivi.huyu dogo wa wasafi RAYMOND ni msanii mzuri kuliko hata DIAMOND.kasikilize salome hapo utaelewa,dogo kapiga melody yake mwenyewe na ni kali,ila Mond katembea na melody za Saida zote.hata hivo afadhari hii kabadilisha melody maana jamaa anarudia melody sana,nyimbo zake zote zina melody sawa,kifupi DIAMOND hajui kuimba sema ana bahati tu.
NA KADRI MUNAVYOZIDI KUMTAJA,NDIO ANAZIDI KUBAKI MIDOMONI MWENU NA ATAWABURUZA SANA HADI AAMUE KUACHA MUZIKI MWENYEWE. MAANA JF CELEBRIETY FORUM NI KAMA VILE FORUM KWA AJILI YAKE.Kwanza naomba ieleweke kwamba mimi sina team kwenye muziki.bali napenda wimbo mzuri na sio msanii.
Sasa nirejee kwenye mada,ni hivi.huyu dogo wa wasafi RAYMOND ni msanii mzuri kuliko hata DIAMOND.kasikilize salome hapo utaelewa,dogo kapiga melody yake mwenyewe na ni kali,ila Mond katembea na melody za Saida zote.hata hivo afadhari hii kabadilisha melody maana jamaa anarudia melody sana,nyimbo zake zote zina melody sawa,kifupi DIAMOND hajui kuimba sema ana bahati tu.
Hata Mavoko? Teh teh... Shule ya masauti IleRaymond anajua sana yule dogo wcb wote hawamuwezi ila tumpe mda
sawa mkuu...tumzungumzie gigy money au best naso..weka uzi hapoHivi diomond ana nini diomond!!!??,maana tumeshamchoka humu wajameniiii,hebu tuongelee wengineeeee
Ana domob kubwasaaaaaaaaaHivi diomond ana nini diomond!!!??,maana tumeshamchoka humu wajameniiii,hebu tuongelee wengineeeee
Unalingalisha mtu mwenye nyimbo tano na mtu mwenye nyimbo hamsini. Ingefaa umfananishe Harmonize na Ravy..Kwanza naomba ieleweke kwamba mimi sina team kwenye muziki.bali napenda wimbo mzuri na sio msanii.
Sasa nirejee kwenye mada,ni hivi.huyu dogo wa wasafi RAYMOND ni msanii mzuri kuliko hata DIAMOND.kasikilize salome hapo utaelewa,dogo kapiga melody yake mwenyewe na ni kali,ila Mond katembea na melody za Saida zote.hata hivo afadhari hii kabadilisha melody maana jamaa anarudia melody sana,nyimbo zake zote zina melody sawa,kifupi DIAMOND hajui kuimba sema ana bahati tu.
Kwanza naomba ieleweke kwamba mimi sina team kwenye muziki.bali napenda wimbo mzuri na sio msanii.
Sasa nirejee kwenye mada,ni hivi.huyu dogo wa wasafi RAYMOND ni msanii mzuri kuliko hata DIAMOND.kasikilize salome hapo utaelewa,dogo kapiga melody yake mwenyewe na ni kali,ila Mond katembea na melody za Saida zote.hata hivo afadhari hii kabadilisha melody maana jamaa anarudia melody sana,nyimbo zake zote zina melody sawa,kifupi DIAMOND hajui kuimba sema ana bahati tu.
Unalingalisha mtu mwenye nyimbo tano na mtu mwenye nyimbo hamsini. Ingefaa umfananishe Harmonize na Ravy..[/QUOTE
Unalingalisha mtu mwenye nyimbo tano na mtu mwenye nyimbo hamsini. Ingefaa umfananishe Harmonize na Ravy..
Raymond ni level nyingine asee Diamond asubiri getini hata kama ana nyimbo 100