Ubungo yanavutia yale madaraja mawili?! Nani aliichakachua project ya kwanza iliyo takiwa ijengwe?Tumshukuru sana mzalendo magufuli aliip a mbania Tanzania yetu.Naamini angekuwepo nchi ingetapakaa flyover kila mahali.Maana toka atutoke hakuna flyover mpya iliyobuniwa na awamu hii mpya zaidi tu ya alizoziacha ambazo zingine zinamaliziwa kwa sasa japo za sasa zimechakachuliwa.Yaani hazina mvuto na ubora.
Hesabu za motivational speakers zimeanza Sasa.Sio zinaingiza shs.ngapi, sema inaokoa kiasi gani, Ubungo Interchange imeshaokoa Zaidi ya Trillion 20 tangu ifunguliwe.., hujui hasara taifa lilikuwa linapata pale wewe..
Hesabu za motivational speakers zimeanza Sasa.Sio zinaingiza shs.ngapi, sema inaokoa kiasi gani, Ubungo Interchange imeshaokoa Zaidi ya Trillion 20 tangu ifunguliwe.., hujui hasara taifa lilikuwa linapata pale wewe..
We umeona kua na flyover nyingi ndio kua na maendeleo
We MBWA ingia tamisemi kuna taarifa zote kuhusu sensa ya 2012, hivyo hata hii ikifanyika taarifa utazipata hapoKwan watatoa majibu ya sensa Sasa. Wakitoa niite mbwa nimekaa hapo
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Ongezeko la 7,500 si bora wangejenga Flyover tu.Hamnaga shukrani alikuwa anatengeneza flyover lakini hakuna ajira mpya Wala kupandisha mishahara mkasema maendeleo ya vitu maisha magumu kaja anataka maendeleo ya watu Bado mnaongeaaaa
Mbali nahilo mkuu dar haikutakiwa kuwa pale ilipo Sasa tangu tumepata UhuruMaana kwanza nicheke, hivi hii nchi tunaambiwaga ina watu milion 60 ni kweli au ni nadharia? Yaani flyover 1 kwa watu milioni 30?! Hivi hii inaingia akilini kweli?
Hebu tusubiri Sensa tuone, hadi majibu ya Sensa yatoke ndio ndio nitaamini
Mi najiulizaga, hivi bila Magufuli tungekuaje hii nchi?! Si tungekuwa kituko duniani kote?!nchi ya ajabu sana hii!! na hapo washukuru magu alikua na mawazo
Hadi kila kijiji kipate flyover niniMaana kwanza nicheke, hivi hii nchi tunaambiwaga ina watu milion 60 ni kweli au ni nadharia? Yaani flyover 1 kwa watu milioni 30?! Hivi hii inaingia akilini kweli?
Hebu tusubiri Sensa tuone, hadi majibu ya Sensa yatoke ndio ndio nitaamini
Mwacheni mama...yaani mara hii mmeshasahau?Huyu mama anataka kufurahisha watu, sio kuleta maendeleo.
Maendeleo hayawezi kuja kwa kuchekeana chekeana. Wazungu hawakufika hapo kwa kuchekeana, wamwpigana vita nyingi sana kuwekana sawa.
Sisi Tanzania tunataka kuchekeana, mara mama asamehe wasiolipa kodi, sasa unasamehe watu wasilipe kodi wewe nchi utaiendeshaje, kwa kukopa na kuomba misaada?
Hakuna maendeleo yamewahi kuletwa hapa Duniani kwa misaada na mikopo. Hakuna.
Hii nchi tuna bahati mbaya sana.
Mallory yanayotoka bandarini kuja Morogoro yakikaa foleni masaa 6 ni lazima bidhaa zitakuwa ghali huko kwenuFly over inanisaidia nini mimi niliopo huku morogoro?
Hata hapo dar fly over haijasaidia kitu
Kujenga atajenga tu fly over bibi tozo
Kabla ya hio fly over sijawahi ona bidhaa ikawa ghali we dogo janjaMallory yanayotoka bandarini kuja Morogoro yakikaa foleni masaa 6 ni lazima bidhaa zitakuwa ghali huko kwenu
Huwezi kuona impact yake moja kwa moja hivyo..., its very wide spreadKabla ya hio fly over sijawahi ona bidhaa ikawa ghali we dogo janja