Shine
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 11,481
- 1,368
sio usawa wa jk!
jk keshaingizwa humu tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio usawa wa jk!
Sawa kabisa! Unaweza msaidia mtu akaja kukutukana baadaye. Saidia, sahau! Ila hadithi kama hiyo hapo juu inaweza kabisa kutokea, dunia si kubwa sanaaa
ok lizy na ww ukiwa na shida niambie, sawa mrembo?! Nitakusaidia lol.
Kuna mtu mmoja mara kwa mara ananitendea ubaya,Namwomba Mungu kila siku amuadhibu walau avunjike hata kiuno,cha ajabu jamaa anadunda kila siku,ndo maana nkauliza
Ni mmoja kwa mia wengi wanalipa dharau na unyama.
Saidia uende zako usingoje shukrani!
Stori yako ni nzuri na inafundisha ila imekaa kama imetungwa maana unavyosema huyo mama alikuwa amemwandalia shamba wakati alikuwa hana mawasiliano nae alijua je atajakutana nae?
haaah haaah Lizy wanikatisha tamaa, mm nasaidia sana hasa jinsia yako lol.
si kila unayemsaidia anakuwa na moyo kama huyo mama, wengine wanaishia kukufanyia vituko ile mbaya....
Mpatanishi umetumwa nini?Maana hapa nilipo tu sijalipa kodi tangu mwezi uliopita. . .weekend tu nimepata simu za landlord mara tano sema sipokei. Kesho nadhani ndie atakaeniamsha asubuhi.
Si kwavile unajua utataka fadhila fulani?
ouh worry out, ni pm nikutumie kwa njia gani?
Fanya kwa pm si unajua hapa kuna wachawi lol
Hehehehe. . . anza wewe kuniPM ili nijue kweli una nia!!
jamani lizzy anza ww kuni pm nami nijue kweli wahitaji msaada.
Ni pm tu ucjal lol
Mi nimeshakwambia NAHITAJI alafu wewe ndio mwanaume. . .ONYESHA NIA.
Mhhhh .... Napita
aaah Lizzy ww! Ni pm tu jamani lol