Amini usiamini VITA yeyote inaanza katika nafsi/roho ya mwanadamu hivyo tuzingatie katika hili

Amini usiamini VITA yeyote inaanza katika nafsi/roho ya mwanadamu hivyo tuzingatie katika hili

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
Dunia =kanuni+utaratibu neno ni ibada pia ni nguvu ukitamka neno mungu ujue umefanya ibada na kwa kupitia neno (MUNGU) unaweza kujikinga na mapepo ya aina yote ila muhimu ni kuamini tu!

Nashangaa mno licha ya dunia kuwepo katika misingi muhimu iliyowekwa na mungu ili kuilinda dunia na kuendeleza vita na shetani lakini serikali na wananchi wamekuwa wakipuzia misingi hii "MAANDIKO" katika maandiko matakatifu yanakemea kila aina ya dhambi na uovu autendao mwanadamu na kupitia maandiko hayo ndiyo binadamu tunawasiliana na mungu sasa inakuwaje serikali inapiga vita ya uchumi, ushoga,unafiki, wizi. Umalaya na utapeli then ikashindwa kuwasiliana viongozi wa kiroho?

ROHO ni hisia inaweza kuingia mwilin mwa mtu kupitia maneno,kusikia,picha au hata kuona na hata vita inatakiwa ipiganwe kuanzia kwenye roho,TV,RADIO. WASANII WOTE ni roho za kuabudu na kusambaza ushetani serikali ijitahd kuongea na viongozi wa kidini kuwapa airtime kubwa ili TAIFA libakie salama.
 
Back
Top Bottom