ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Labda itokee mwanamke anataka aingizwe ndo usafi itafanyika na vitu itapangwa. Lazima msoma maada hii mmojawapo ghetto lake liko hivo shaghalabaghala.Kweli hapo ukose fungus? Mmba? Chawa? Miwasho? Toa hata hela ufanyiwe usafi kama huna Tena morali ya kujifanyia usafi.