RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Aisee mbona unajitetea kwa nguvu hivi!Aisee mi geto langu safi kinoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee mbona unajitetea kwa nguvu hivi!Aisee mi geto langu safi kinoma
Mi na uchafu mbali mbali, nakuaga na kinyaa kinomaAisee mbona unajitetea kwa nguvu hivi!
Hujamla lakini anajua kitanda chako kina spring.Nyie ndio maana wake/madem zenu wakija kutembea ktk nyumba zetu huwa wanapazoea sana na kujiachia..
Kuna workmate mmoja hivi kuna siku alikuw anapita maeneo karibu na kwangu akanichek anipe Hi then aendelee na safari zake, kufika home hapa nikamzingatia msosi na mivinyo (hapa nina mini-bar sitting room) basi bhana.. kuanzia saa sita mchana mpk saa 2 usiku Dada wa watu hata dalili ya kuondoka hana.. miguu juu ya sofa.. nikaona hii ishakua lawama hii..
NB: Sikumla..
Ila kila siku simu nyingii upo home nije? Mara sijui kitanda chako kina springs? Nije nipike etc..
Ukiwa na gheto/nyumba chafu chafu hata mtu akija harudi tena hata kwa fimbo.
Moja ya signs za uchafu ni uwepo wa mdudu wa aina yoyote ile.
Sijakataa, ila ninachosema, haiba ya mwanamke ni usafi ndanni ya nyumba, tafuta mwanamke akusaidie..,Ukilelewa malezi ya kichokoraa utaona usafi ni mambo ya kike ila hata jeshini kitu cha kwanza ukiamka ni kutandika kitanda ndo nidham inapoanzia.