Nyie ndio maana wake/madem zenu wakija kutembea ktk nyumba zetu huwa wanapazoea sana na kujiachia..
Kuna workmate mmoja hivi kuna siku alikuw anapita maeneo karibu na kwangu akanichek anipe Hi then aendelee na safari zake, kufika home hapa nikamzingatia msosi na mivinyo (hapa nina mini-bar sitting room) basi bhana.. kuanzia saa sita mchana mpk saa 2 usiku Dada wa watu hata dalili ya kuondoka hana.. miguu juu ya sofa.. nikaona hii ishakua lawama hii..
NB: Sikumla..
Ila kila siku simu nyingii upo home nije? Mara sijui kitanda chako kina springs? Nije nipike etc..
Ukiwa na gheto/nyumba chafu chafu hata mtu akija harudi tena hata kwa fimbo.
Moja ya signs za uchafu ni uwepo wa mdudu wa aina yoyote ile.