Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 363
Wikiendi hii mashabiki wa masumbwi tumeshuhudia unbeaten record ya Amir Khan ikifikia ukingoni baada ya dogo huyo kupewa kichapo cha nguvu na kuwa knocked out ndani ya sekunde 54 tu na mkolombia Breidis Presscot. Tumbuke kwamba kabla ya mpambano huu Khan alikuwa ameshinda mapambano yake yote 18 na kati ya hayo 14 yalikuwa ni kwa knock outs, ina maana alikuwa anapambanishwa na wapinzani wenye uwezo mdogo? What went wrong on saturday night?
[media]http://www.youtube.com/watch?v=FMN67zCuZzo[/media]
NB: Nyani Ngabu- nimeipenda kazi ya Rashad kwa Liddel wikiendi hii pia!
[media]http://www.youtube.com/watch?v=FMN67zCuZzo[/media]
NB: Nyani Ngabu- nimeipenda kazi ya Rashad kwa Liddel wikiendi hii pia!