Amiri Jeshi Mkuu Samia yuko Imara

Anna Nkya

Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
69
Reaction score
341
Kuna video inasambazwa ikionesha Rais na Amiri Jeshi Mkuu kuyumba kidogo.

Wengi wanaopost video hiyo wanatia chumvi ionekane kwamba Amiri Jeshi Mkuu ana shida ya kiafya.

Majibu kutoka Jeshini:

1. Hakuanguka. Kumbukeni pale ndio alikuwa anaingia kwenye shughuli na alionekana akiendelea na kazi zake kama kawaida.

2. Baada ya kazi ya pale Jeshini, Amiri Jeshi Mkuu alienda Ikulu ambako alikuwa na ugeni mkubwa kutoka benki ya Dunia.


Amiri Jeshi Mkuu yuko imara sana, MAMA YUKO KAZINI

 
Hiyo video ingepositiwa utawala wa awamu ya tano kuna mtu angekuwa mpaka mida hii katekwa na kupotezwa
 
Huyo wa benki ya dunia na mafaili mekundu, maumiani uchumi utawajua tu.
 
Ndio ile video ameyumba, ila haimaanishi kwamba ana matatizo ya kiafya au hana.
 
Gwanda la Jw sio mchezo linaheshima
 
Naona mama yetu kipenzi anafundishwa kupiga saluti na mpambe wake,amependeza mama yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…