This is Uhuru in Kisumu last week, you should try to validate your source of information before displaying such ignorance, why would a head of state fear kisumu? You think kenya is a banana republic?
Uhuru gets warm reception in Kisumu - PHOTOS - Kisumu | Daily Nation
Hii niliisikia siku chache zilizopita ya kwamba Raisi wa Kenya ambaye ndiye Amiri Jeshi Mkuu wa nchi hiyo anaogopa kwenda kutembelea Kisumu ambao ni mji ndani ya nchi ya Kenya, nimesikia ya kwamba ameahirisha mara nyingi sana kwenda huko mpaka pale wazee wa huko watakapokubali yeye aende, hii hali ilinifanya nipigwe na bumbuwazi, Hivi Uhuru Kenyata ni raisi na Amiri Jeshi Mkuu wa Kenya yote au Nairobi na Muran'ga tu?
Danganyika kila siku hudanganyika, yaani shule ulipitia tu kama mtalii anayezuru nchi geni.