Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Hii niliisikia siku chache zilizopita ya kwamba Raisi wa Kenya ambaye ndiye Amiri Jeshi Mkuu wa nchi hiyo anaogopa kwenda kutembelea Kisumu ambao ni mji ndani ya nchi ya Kenya, nimesikia ya kwamba ameahirisha mara nyingi sana kwenda huko mpaka pale wazee wa huko watakapokubali yeye aende, hii hali ilinifanya nipigwe na bumbuwazi, Hivi Uhuru Kenyata ni raisi na Amiri Jeshi Mkuu wa Kenya yote au Nairobi na Muran'ga tu?