Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Rais wa Uganda na Amiri Jeshi Mkuu wa UPDF Mheshimiwa Yoweri Kaguta Museveni amefanya uteuzi kwa kuwapandisha vyeo Majerali na Maofisa Waandamizi wa Jeshi la nchi hiyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa tukusaidieje labda?Rais wa Uganda na Amiri Jeshi Mkuu wa UPDF Mheshimiwa Yoweri Kaguta Museveni amefanya uteuzi kwa kuwapandisha vyeo Majerali na Maofisa Waandamizi wa Jeshi la nchi hiyo.
View attachment 1762327
View attachment 1762328
Na 30.4% ya budget yao imeelekezwa kwenye ulinzi!
Kadiri mtu anavyozeeka ndivyo huogopa kufa. Anaimarisha ulinzi ili aendelee kuwepo. Angemuiga Mobutu kwani kila akisafiri alikuwa anatembea na funguo zote za magala ya silaha.Na 30.4% ya budget yao imeelekezwa kwenye ulinzi!
Rais wa Uganda na Amiri Jeshi Mkuu wa UPDF Mheshimiwa Yoweri Kaguta Museveni amefanya uteuzi kwa kuwapandisha vyeo Majerali na Maofisa Waandamizi wa Jeshi la nchi hiyo.
View attachment 1762327
View attachment 1762328Wakati umefika kwa Museveni kuandaa transition team na ang'atuke kwa maslahi mapana ya amani ya Uganda. Sipati picha nini kitatokea iwapo Mungu akamchukua ghafla kama ilivyotokea kwa JPM Tanzania.
Na mimi ndio mtu wa kwanza kumtafuta kwenye list sijamuonaSafari hii mtoto wake hajampandisha? Silioni jina la Muhoozi nani sijui yule.