THE BEEKEEPER JF-Expert Member Joined Feb 23, 2024 Posts 1,547 Reaction score 7,531 Jun 2, 2024 #1 #AMKA_NA_HII Tambua kuwa ndege wengi tunao waona huenda baadhi yao sio ndege halisi. Angalia pichani haya ni mambo ya Artificial Intelligence. Ndege yupo kazini.Ama kweli dunia inakwenda kasi sana.
#AMKA_NA_HII Tambua kuwa ndege wengi tunao waona huenda baadhi yao sio ndege halisi. Angalia pichani haya ni mambo ya Artificial Intelligence. Ndege yupo kazini.Ama kweli dunia inakwenda kasi sana.
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,463 Reaction score 17,954 Jun 2, 2024 #2 mbona bado umemuita ndege?
G guest-1788162615 Guest Jun 2, 2024 #3 Excel said: mbona bado umemuita ndege? Click to expand... Ndio wasomi wetu hao na wanavyotutisha na artificial intelligence yao kama kitu cha maana au kipya kumbe ni blah blah tu.
Excel said: mbona bado umemuita ndege? Click to expand... Ndio wasomi wetu hao na wanavyotutisha na artificial intelligence yao kama kitu cha maana au kipya kumbe ni blah blah tu.
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 46,410 Reaction score 114,823 Jun 2, 2024 #4 Benifica fc wanae wa hivyo