Kuna misemo kwamba ukiona bosi kakalia kiti cha kuzunguka (lugha ya mafumbo kutoboa) ujue kafanikiwa, fanya kazi kama mtumwa uishi kama mfalme, n.k.
Hio misemo ni kwajili yetu tuliotokea familia duni, ili kutoboa ni lazima upambane sana aidha usome sana ubahatike kuajiriwa sehem yenye maslahi, Upambane from scratch kuinua biashara, bahati nasibu inayotokea moja katika kila maelfu, n.k.
Kuna watu wamezaliwa kwenye familia zinazojiweza wazazi / walezi ni ni wafanyabiashara waliotoboa, wakurugenzi wa mashirika, maprofesa vyuoni, majaji, wanaidara wa usalama wenye vyeo vizito, mabalozi, mawaziri, n.k.
Maisha kabla ya kujitegemea
Maisha ya kujitegemea
Mtu amemaliza chuo tayari kazi inamsubiri, kama kuna interview ni ya kuzuga tu, kateseka kufika alipofika ?
Kama amaeshindwa shule au kamaliza chuo anataka kufanya biashara, tayari familia ina connections na mtandao, kufikia age 35 tayari account inasoma milioni 500+, kateseka kufika alipofika ?
USHAURI
Chukia sana umasikini, Sio jambo la kuzoesha wala kulichukulia poa, Epukana sana na misemo au imani zinazodumaza akili kuufanya umasikini uonekane ni jambo la kawaida

- anaepushwa na shida za kayumba anapelekwa english medium, masomo anajifunza kwa kiingereza tangu chekechea wenzake wanaanzia form 1, vyoo visafi muda wote, darasani kila mtu ana dawati lake, darasa moja halilizidi wanafunzi 30, kila mwanafunzi ana kitabu chake, Kujifunza computer tangu wadogo, madaftar yakiisha wanapewa shuleni, n.k. wale mnaosema english medium zinalemaza ni self compassion kujifariji na umasikini, Mtoto anaweza kwenda english medium lakini kazi za nyumbani atafanya kama kawaida, hizi ndizo za muhimu zaidi kuzijua ili mtu uweze kujitegemea hapa bongo hata ukiwa na hali ngumu.
- ana uhakika wa milo mitatu yenye mboga saba
- akiumwa hospitali zake ni Aghakan
- Hata bila mkopo ana uhakika wa kwenda chuoni