Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Shida ya post yako ambayo unaita ina majibu. Sio kwamba imejaa typos ambazo zinafanya ueleweki umeandika nini.Mfanikio ya kwanza n9 nidgamu.
Ili uwe na nishamu inabidi uwe n ibada.
Ili uwe na ibada inabidi uwe na dini.
Ili uwe na dini inabidi uwe Muislam.
Kutafuta kipato cha halali Kiislam ni ibada. Bila kupigqana, bila kupambana, kufata ratibu za ibada ili uwe na nidhamu ya yote uyafanyayo.
Ukifata hayo, mafanikio ni kama kusukuma mlevi tu.
Hata hapo unaposomeka ni hadhithi za leaving matters to heavenly devine as your proposed solution (like that’s how the world operates).
Kila kitu rahisi kwako, let me guess kodi iwe 10% kwa kila mtu; wale walioweka kiwango cha mapato chini ya 270,000 kwa mwezi as living allowance wasitozwe income tax ili watu wenye kipato kidogo wapate nafuu hawana akili. Na kupanga biashara zisizo na mauzo chini ya tsh 200 million sio lazima kusajili VAT hawajui lolote.
Acha kuongelea mambo usiyo na uwezo nayo, akili hizo huna.