Amka usingizini, Sio kila aliefanikiwa kateseka, Pigana ufanikiwe uanzishe kizazi chako kifanikiwe bila mikiki mikiki

Shida ya post yako ambayo unaita ina majibu. Sio kwamba imejaa typos ambazo zinafanya ueleweki umeandika nini.

Hata hapo unaposomeka ni hadhithi za leaving matters to heavenly devine as your proposed solution (like that’s how the world operates).

Kila kitu rahisi kwako, let me guess kodi iwe 10% kwa kila mtu; wale walioweka kiwango cha mapato chini ya 270,000 kwa mwezi as living allowance wasitozwe income tax ili watu wenye kipato kidogo wapate nafuu hawana akili. Na kupanga biashara zisizo na mauzo chini ya tsh 200 million sio lazima kusajili VAT hawajui lolote.

Acha kuongelea mambo usiyo na uwezo nayo, akili hizo huna.
 
Tafsiri yako ya Kingereza haipo sawa. Towa hiyo "a".
Ahsante kwa kunisahihisha, nimelazimika kutofata ushauri wako ili nisiwe mtumwa wa kubobea lugha ya Mabeberu ilihali mi ni Mbantu halisi.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
nani apigane?kwani duniani nitaishi miaka 1000?Kila mtu apambane kwa wakati wake.
 
Siyo "majibu", solutions.

Mafanikio ya kwanza ni nidhamu.

Ili uwe na nidhamu inabidi uwe na ibada.

Ili uwe na ibada inabidi uwe na dini.
Ili uwe na dini inabidi uwe Muislam.

Kutafuta kipato cha halali Kiislam ni ibada. Bila kupigqana, bila kupambana, fata taratibu za ibada ili uwe na nidhamu ya yote uyafanyayo.

Ukifata hayo, mafanikio ni kama kusukuma mlevi tu.
 
Ahsante kwa kunisahihisha, nimelazimika kutofata ushauri wako ili nisiwe mtumwa wa kubobea lugha ya Mabeberu ilihali mi ni Mbantu halisi.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Tafsiri yako ya Kingereza haipo sawa. Towa hiyo "a".
 
Miaka mitatu au minne ya elimu ya uchumi wanafunzi hawasomi theories za ujinga. Hakuna hadithi za mungu, kwenye kuwatengenezea watu na biashara mazingira bora ya kuinuana.

Miaka minne ya elimu ya accounting au shahada za finance hakuna elimu ya mungu ni maswala ya kutumia fedha kukuza biashara na kuinua watu.

Miaka mitatu au minne ya shahada ya siasa ni kuelewa science ya jamii na kuja na mbinu za kuisaidia hakuna mungu.

Hakuna kitabu cha mungu kitakupa elimu hiyo iwe Torah, Bible or Quran.

Akili zako zinakutosha mwenyewe
 
Endelea na elimu yako, wangu ni ushauri tu siyo lazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…