Superman
JF-Expert Member
- Mar 31, 2007
- 5,693
- 1,702
- Thread starter
- #21
Sasa huyu naye! Anaganga wapi huko? Kwani huko anakotembeza makali ya wembe ndo ilipo shida? Shida iko kichwani kwa Mama-cha-wote. Alitakiwa shughulikia juu!
Haaa haaa nimecheka sana.
Angefanyaje Mkuu? Angempeleka Milembe au angemchanja kichwani?