Sasa huyu naye! Anaganga wapi huko? Kwani huko anakotembeza makali ya wembe ndo ilipo shida? Shida iko kichwani kwa Mama-cha-wote. Alitakiwa shughulikia juu!
jamani sijui ni maumivu ya aina gani anayofil huyo dada asiyetosheka na hiyo ndio faida ya kuwa mpenda ngono
sawa sawa kabisa maana, imeandikwa...... enendeni mkawafungue waliofungwa....mtu akiwauliza neno, sema BWANA ana haja nao.Msaada wa kimaombezi zaidi
Dada Charity anaweza kuwa msaada mkubwa kwake !
nnn, huuuuu!!Huyo dada amekipata alichokuwa akikitafuta!
nnn, huuuuu!!
Duh!! Wajameni, hakuna hata cha tasfida!!Tatizo ni mfumo dume uliopo katika jamii ya waafrika. Hakika haipingiki kuwa kila mwanamke mpya mtaani ni BIKIRAa na kila nyamaume ingependa iwe ya kwanza kuivua chupi na kuiona sura na kupata ladha ya uke wa huyo mwanamke. Tatizo ni nini mwanake akifanya hivyo? Aidha siku hizi wanawake wanataka haki sawa na wanaume kwahiyo na huyo alikuwa akitekeleza maamuzi ya BEIJING. Pamoja na hayo nampa pole nyingi sana. Hebu fikiria matatizo ya kupona kwa kidonda kilichopo gotini halafu kumbuka amejeruhiwa kumani hali ikoje. Kweli sipati picha.
huyo ni ujinga, kama amejua dada hajatulia si angetafuta aliyetulia , daima malipo ni duniani , pole dada lakini labda kheri yako ungeendelea kubadili labda ungeukwaa!