Amkeni amkeni! Canelo kapigwa hukoo

Amkeni amkeni! Canelo kapigwa hukoo

Canelo ni bondia mzuri, ila kwenye hili pambano ilikua kama mikono imepooza.

Cha maana alichofanya ni uppercuts chache ambazo hazikuleta madhara kwa Bivol.

Kwa sasa Canelo atashuka kwenye viwango vya Pound for Pound ambapo alikuwa kinara kwa muda mrefu.
Nina imani wakirudiana atashinda.
 
Kapigwa kutokana na kiherehere chake cha kutaka kutawala kila weight sasa amejichanganya kwa light heavy weight kila akipiga ngumi zinaishia kwenye mikono tu


Hiyo mrusi ana jab moja matata sana ameirusha kuanzia fight inaanza mpk inaisha hajali kama umeweka guard wala nn

By the way canelo is one of the best fighters of this generation

Sure
 
CANELO ni mzuri zaidi kwenye MIDDLEWEIGHT 'light & super'
 
Back
Top Bottom