mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Wajinga wale huwa wanadhani jezi ndo huwa zinacheza. Rivers United wana mijezi mibaya kiasi kwamba mimi siwezi kuinunua hata kwa 2,000/=, lakini mpira wao ni balaa kuwazidi Utopolo wenye jezi nzuri.Sisi tuna jezi nzuri kuliko wale....🤣
Kweli mkuu ila yanga akikutana na nyau anamlamba unalizungumziaje hiliWrite you
Wajinga wale huwa wanadhani jezi ndo huwa zinacheza. Rivers United wana mijezi mibaya kiasi kwamba mimi siwezi kuinunua hata kwa 2,000/=, lakini mpira wao ni balaa kuwazidi Utopolo wenye jezi nzuri.
In short, Yanga hawana akili!
Sauti inatoshaWrite you
Wajinga wale huwa wanadhani jezi ndo huwa zinacheza. Rivers United wana mijezi mibaya kiasi kwamba mimi siwezi kuinunua hata kwa 2,000/=, lakini mpira wao ni balaa kuwazidi Utopolo wenye jezi nzuri.
In short, Yanga hawana akili!
Kocha wenu anadiploma mleteni afundishwe na Profesa wetu,aje na vyeti vya waajiri wake.
Kocha anajua,kikosi kipo vizuri.
Baada ya mechi Sasa
Nabi hajui kupanga kikosi unamuwekaje Bangala benchi?
Mauya sio wakucheza Yanga
Nchimbi sio wakuchukua nafasi ya Youcuba
Nabi hana uchungu na Yanga
Ongeza kauli nyingine ya utopolo wakilalamika juu yakipigo Cha river United
Ni kweli, kwasababu hata kule Kigoma alimlamba.Kweli mkuu ila yanga akikutana na nyau anamlamba unalizungumziaje hili
Makubwa Jinga FCYanga sioni hata wanacheza mfumo gani.
Mi naona wanacheza
Putaputa tu, sioni wakicheza kimipango.
Au macho yangu jamani.
Mechi na Rivers United nyumbani dakika 90 shuti moja tu golini ...!!!!
Ni maajabu ya Karne.
Vipi wangeshuka Al-Ahally wenye lombe lao ?
Wamewekeza kwenye fashion show ya mavaziWrite you
Wajinga wale huwa wanadhani jezi ndo huwa zinacheza. Rivers United wana mijezi mibaya kiasi kwamba mimi siwezi kuinunua hata kwa 2,000/=, lakini mpira wao ni balaa kuwazidi Utopolo wenye jezi nzuri.
In short, Yanga hawana akili!
"The return of CAF champions"🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ************The return of shameKocha wenu anadiploma mleteni afundishwe na Profesa wetu,aje na vyeti vya waajiri wake.