Amkeni, amkeni Profesa ameanza kulaumiwa huku

Kwa timu ya jana iliyocheza labda wakapindue kitanda cha Mama J, biashara anavuka hapa ila Yanga hata shirikisho haendi tegemea anaenda kuwa 100Β±
 
Kwa timu ya jana iliyocheza labda wakapindue kitanda cha Mama J, biashara anavuka hapa ila Yanga hata shirikisho haendi tegemea anaenda kuwa 100Β±
Uto ndo zao yani hawaoni kama wapo wanatuvuna hapa yani sijui wajikuta akina nani yani sisi tunapambana timu zinakuwa nne wao wanakuja na wenge lao uwanjani eti timu haijapata chemistry yani toka kipindi cha Zahera hadi leo hawana chemistry sasa hapa watafute divinity tu hakuna namna🐸🐸
 
Huu ndio ukweli. wakiufanyia kazi huu ushauri wako watapiga hatua kubwa sana.

Simba na Yanga zinafanana kwenye mambo yote ya nje ya uwanja.
Tofauti yao kubwa ipo ndani ya uwanja tu.
 
Kama wewe mtoa mada ni kocha kwa nini Yanga wasikuchukue? Hamna timu ya kushindana Champions league hapo
 
Timu toka enzi za Zahera mpaka leo hawaelewi Chemistry kama vipi si waachane na Science waende zao Arts
Kwenye muunganiko hiyo timu imeshindikana sasa sijui ni kusajili hovyo au nini? Bora usajili wachezaji wa kawaida uwafundishe kucheza kitimu kuliko kuokoteza wanaoitwa mastaa kila mtu anacheza anavyojiskia
 
Ndiyo Marupe~rupe
Wanataka Mafanikio Ya Simba Haraka Haraka
 
Nahisi tutakuwa na jina jingine la utopolo baada ya dalili kuonyesha kocha wao atatimuka au kutimuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…