Amkeni, amkeni wamekuja tena. INFINIX HOT 10T. Imekuwa launched

Imepanda hivo
 
Hot 10 plus.Battery 6000MaH
 
Achana na hiyo hebu tafuta infinix note 8i kisha rudi tena hapa.
 
ila kwenye chaji hawa ki kiboko ...kwa siku utachaji mara moja tu kama simu yako ipo busy online muda wote ila kama sio mtu wa online sana simu inaweza ikae mwezi mzma na chaji hiyo hiyo
 
Infinix za bei kubwa ni nzuri zinakaa na chaji sana...Hot 9 play ina 6000MAh ni balaa chaji.
 
ila kwenye chaji hawa ki kiboko ...kwa siku utachaji mara moja tu kama simu yako ipo busy online muda wote ila kama sio mtu wa online sana simu inaweza ikae mwezi mzma na chaji hiyo hiyo
Tecno & Sons kwenye chaji ni kiboko toka ameingia kwenye soko la smartphone kiuhakika! Hizi kampuni kubwa zinajaribu kupambana upande wa charge ila wapi!

Sony tu ndio aliwezaga optimization mapema ndio akawafungua akili akina Apple na Samsung ila still bado taji liko kwa mchina!

Huawei, Oppo, Xiaomi, Vivo, Tecno, Infinix wana akili nyingi kuwazidi hao giants kwenye uundaji na optimization ya battery!
 
Eti tecno and sons 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
mchawi ni kioo na prossesor.

hapo ndio kuna uamuzi charge ikae muda gani kwenye simu.
 
Hapo wamepatia achilia mbali betri la 5000mAh, 48MP sio masihara? Infinix ya MP13 ni tishio je hiyo ya 48? Changamka usiulize tena
Usitishike na wingi wa megapixels

Wingi wa megapixels sio ubora wa picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…